Recent content by Trueman

  1. T

    JamiiForums Tanzania UPDATES za Bungeni leo walio karibu na TV zak watujuze kinachoendelea.

    Wanaandika barua za kuacha kazi
  2. T

    JamiiForums Tanzania Mh. Lema - Mawaziri hawapo bungeni jioni

    pinda nae ni mzigo ten mzigo mkubwa nae atoswe
  3. T

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria wa Zitto atolea ufafanuzi makosa 11 ya Zitto na wenzake

    Wangemfukuza kazi ingekuwa rahisi yy angecheza na mahakama tu siasa za bongo
  4. T

    JamiiForums Tanzania Mke wangu wa ndoa amenisaliti, ameingiza mwanaume ndani ya nyumba! Nimfanyeje?

    hao ndy naushahidi nao na meseji za mapenzi zipo
  5. T

    JamiiForums Tanzania Mke wangu wa ndoa amenisaliti, ameingiza mwanaume ndani ya nyumba! Nimfanyeje?

    Cha ajabu yeye anakataa ila anasema pamoja na kuwambia hizo naomba msamaha wakati tunaendelea na vikao na wazazi wangu wazazi wangu wakagundua kitu fasta kuwa mawasiliano yameamia kwa mdogo wake ambaye yeye alikuwa anasimamia usuruhishi kwavile lawama zitaenda kwake maana yeye ni ameshindikana...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Mke wangu wa ndoa amenisaliti, ameingiza mwanaume ndani ya nyumba! Nimfanyeje?

    ni mke wng halali wa ndoa tena ya kikristo ndoa ina miaka 6 sasa
  7. T

    JamiiForums Tanzania Mke wangu wa ndoa amenisaliti, ameingiza mwanaume ndani ya nyumba! Nimfanyeje?

    asante lkn njie hiyo ni ya kidipromasia nimegongwa na nyoka kaka
  8. T

    JamiiForums Tanzania Mke wangu wa ndoa amenisaliti, ameingiza mwanaume ndani ya nyumba! Nimfanyeje?

    Hatua nilizochukuwa nimkurejesha kwao meseji nilizoprintiwa kwenye mtandao ambao alikuwa akitumia hafai hata chembe kuwa mke wa mtu ni meseji chafu sana alikuwa anachat na wanaume wanne kwa meseji za mapenzi kwa wakati mmoja NAMSHUKURU MUNGU SIKUFANYA MAUWAJI ila kwa sms hizi hali ni mbaya...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Mke wangu wa ndoa amenisaliti, ameingiza mwanaume ndani ya nyumba! Nimfanyeje?

    hata kama ningekuwa na kasoro ya aina gani ivi guest zimejaa mpaka utembee na marafiki zangu
  10. T

    JamiiForums Tanzania Mke wangu wa ndoa amenisaliti, ameingiza mwanaume ndani ya nyumba! Nimfanyeje?

    sidhani kama hili lina ukweli kaka maana ametembea na wanaume sita kwa muda mfupi sana so amekusudia huyu
Back
Top Bottom