Recent content by truegooner

  1. truegooner

    GE2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

    Masikini Pinda, hajakatiza hata top 5! Nimemuona anashangaa shangaa tu.
  2. truegooner

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Kwamba ana thamani kubwa kiasi hicho?
  3. truegooner

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Rooney mchoyo sana na mbinafsi, nashukuru alikosa hiyo penati. Kwa nini hakumuachia Mata akapiga, ilikuwa ni last kick. Mata angeondoka na hat trick yake.
  4. truegooner

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Ukweli ni kwamba gemu Manu waliimaliza kipindi cha kwanza, hamna cha kadi nyekundu wala refa! Timu iliyocheza vizuri na kutaka pointi tatu ndo imeshinda leo! Liver, karibuni Emirate, tuje weka chumvi kwenye kidonda.
  5. truegooner

    Live Updates: Droo ya Robo Fainali ya UCL, Nyon Uswizi, leo Ijumaa 20.03.2015

    Ukweli unabaki Atletico ni kiboko ya Real, Real hawapo vizuri siku hizi. Pia usisahau Real wameingiaje robo finali.
  6. truegooner

    Live Updates: Droo ya Robo Fainali ya UCL, Nyon Uswizi, leo Ijumaa 20.03.2015

    Kituko, ulitaka Manu wabebwe hata kama hawakufuzu? kwani ni nani aliyewatupa nje? jibu ni hawana sifa ya UCL. Na msimu ujao mtaendelea kuwa watazamaji tu.
  7. truegooner

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Nafasi ya nne?? Hiyo tushawaachia wagombee, sisi macho yetu nafasi ya pili na ikiwezekana ya kwanza!
  8. truegooner

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Kwa wale wanaotaka kupiga fweza za haraka haraka toka kwa muhindi, weka bet ya kwa arsenal kushinda na kuvuka raundi hii uone utavyopata mtaji. Wenye masikio wasikie na wafuate huu ushauri.
  9. truegooner

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Leo Monaco anakufa kwao, yaani nje! COYG!
  10. truegooner

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Tutawapiga 4-1 au 4-2! Monako tunawatoa hao. Kama walifunga kwetu 3 kwa nini sisi tusifunge 3+1 kwao? Inawezekana! Tutafutane J5 asubuhi.
  11. truegooner

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Na chelski ni point 6 tu.
  12. truegooner

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Nafikiri alimaanisha na foreign team.
  13. truegooner

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Kiukweli, mimi Ozil nimeshakata nae tamaa! Anahitaji mechi ngapi kuthibitisha uwezo wake? Na cha ajabu wenger anaona anafaa zaidi ya carlzora ktk no. 10 wakati santi ndo anaitendeaga haki hiyo nafasi. Ozil sio big match player!
Back
Top Bottom