Story yako yote hakuna inapoonesha mwenye hatia zaidi ya wivu wako na hisia za kijinga ... sehemu zote ulizotakiwa kutafuta uthibitisho umeukosa sasa umebaki na ''nimesikia sauti kama ya dada''. Suala la wewe kufanya kazi, ulitaka nani akufanyie ilhali uliokuwa unawahudumua ni watoto wako...
Hata mbuyu ulianza kama mchicha ... hongereni! Changamoto mliyonayo, tuambieni mna nini cha ziada kitakachonifanya nisinunue kupitia kampuni nyingine i.e www.beforward.jp? Mnawazidi nini wenzenu?
Amina mpendwa ama hakika nitaweka maombi maalumu juu ya hii changamoto nliyonayo na kutoa sadaka kwa bidii na nina amini Mungu atakutana na haja ya moyo wangu hata katika kipindi hiki cha kwaresma...sina budi kumshukuru Mungu kwa kila jambo na kupiga moyo konde na kusonga mbele nikishika silaha...
Nakubaliana na hoja yako ninachotaka mimi sio kushindana na huyo ex wake kwenye manjonjo ama la,nataka heshima yangu irudi na ule upendo ulionidrag hapa uendelee kugrow....sitakata tamaa ntapambana tu ila naamini machozi yangu hayataenda bure kuna siku Mungu atanilipia tu.Mume wangu ntaongea nae...
Hongera sana kwa kuwa imara na kudhibiti na kuweka mipaka ya mahusiano na mawasiliano na EX wako ambayo hayana athari zozote katika uhusiano wako...pia hongera kwa kuwa na ex mstaarabu...hapa tatioz ni kwamba ex wa mume wa mimi naona ustaarabu kwake ni kitendawili
Mkuu nakukubali kwa ushauri wako na naamini uko sahihi,nakiri kuwa nitaplay my part as a married wife na daima kuwa upande wa mume wangu but i wont allow tena huyo EX aitese ndoa yangu,naamini ntachukua hatua yakinifu katika kulitatua hili tatizo....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.