Recent content by true

  1. T

    JamiiForums Tanzania Ni kutaka kujuzwa tu historia ya marehemu... Ndicho Zitto Kabwe na sisi tunataka kujuzwa!

    Marehem kaacha watoto wa kike wawili! Alafu ni warembo mnoo. Sasa mnaotaka historia fupi kwani hamjui mke na watoto wa marehemu hawatopata wa kuwawowa tena!!? Kafa na slim...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Kumsingizia Rais Magufuli ufisadi haiwezi kumzuia kupambana na mafisadi

    Naomba ulisome hilo jedwari limetoka kwenye report ya CAG. Alafu utusaidie majibu!!
  3. T

    JamiiForums Tanzania Kuna neno CCM kwenye hii sheria "Kanuni za wazee wa baraza ktk Mahakama za Mwanzo"

    Duuh!? Hakuna haki hapo aisee...
  4. T

    JamiiForums Tanzania JK Nyerere:- Moyo Kabla Ya Silaha , Kuasisi TPDF Kulinda Wananchi Si Watawala

    Hivi unatambua kwamba jeshi la wananchi wa Tanzania linaongozwa na sheria zake na ni serikali!?. Kasome vizuri sheria za jeshi mkuu! Mkuu wa majeshi ni km Rais, ila kutokana na mamlaka anapaswa kuwa na mkuu juu yake. Ambaye atakuwa na mamlaka kikatiba! Lkn mkuu wa majeshi anayo mamla ya kumkemea...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Mbowe na viongozi 6 wa CHADEMA wafikishwa Mahakamani Kisutu, wasomewa mashitaka 8, wanyimwa dhamana hadi Machi 29

    Si mnatafuta sababu yakuviweka vikosi mtaani!? Kwenye hilo mmefail....
  6. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini namuunga mkono Magufuli, siyo CCM; na kwanini naunga mkono upinzani na siyo CHADEMA

    labda nipate msaada wa neno "KUKUA na KUKUWA"
  7. T

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa IGP Sirro

  8. T

    JamiiForums Tanzania Mbona Viongozi wa Dini mkoa wa Dar wamekaa kimya wakati Mwenyekiti wao Sheikh Salum anashambuliwa mitandaoni?

    Aman ipi hiyo imevurugwa!? Au ni wananchi wa kanda gani wameguswa? Nyie muombeni Mange poo yaishe..
  9. T

    JamiiForums Tanzania Serikali iwe makini na Lissu maana hana cha kupoteza

    Kwa hiyo mnataka kuipoteza na familia yake!?
  10. T

    JamiiForums Tanzania Masoud Kipanya adaiwa kukamatwa kwa kuchora katuni ya kichochezi. Yeye aibuka, adai aliyetoa taarifa 'AMESAIDIA'

    Km habari za kutubu vile ndo zinatafutiwe dustbeen!!!?
  11. T

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wakanusha taarifa ya NEC kuwa wamesimamisha mgombea ubunge jimbo la Singida Kaskazini

    Kati ya sheria na utaratibu, ni kipi kinachoanza!?
  12. T

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wakanusha taarifa ya NEC kuwa wamesimamisha mgombea ubunge jimbo la Singida Kaskazini

    Shida ni kustukiwa kwa mchezo wengu wa kupitia vichochoroni!! Sasa mnahaha pa kuficha nyuso zenu. Ebu usome vizuri huo ujumbe wa uliyemnakiri!!
  13. T

    JamiiForums Tanzania Peter Msigwa: We were liberated only to be captured again

    Naona mmefunga shule, sasa mnatusumbua na upepo mliolishwa!! Jitahidi umalize japo kidato cha nne. Kitakufungua ufahamu na utaweza kuchangia humu jukwaani. Sasa hivi uwe unatoa like na dislike tu!
  14. T

    JamiiForums Tanzania Peter Msigwa: We were liberated only to be captured again

    Muonekano wa binadam yeyote kwa mara ya kwanza umuonapo, ndo uhalisia wake. Hivyo sikushangai hilo jina lako ndo uhalisia wako!! Wakukupuuza tu wewe.
Back
Top Bottom