Recent content by True Man11

  1. True Man11

    Mama yangu anataka mkwe, na sina hata girlfriend

    hakuna wa kumwambia wala kuingilia maisha yangu, atakuwa mke wangu na maamuzi yangu
  2. True Man11

    Mama yangu anataka mkwe, na sina hata girlfriend

    kweli hakuna mkamilifu ila kuna mapungufu ambayo ni ngumu kidogo kuvumilia au yanaweza kukufanya usifurahie ndoa yako bahati mbaya wadada wengi wanayo siku hizi nadhani sababu ya nature ya maisha (hapa sizungumzii pesa)
  3. True Man11

    Mama yangu anataka mkwe, na sina hata girlfriend

    na uhakika sababu najijua sana
  4. True Man11

    Mama yangu anataka mkwe, na sina hata girlfriend

    nilikuwa natafuta hela kwanza na maisha mama!! sikutaka kuoa kwa hulka mtoto wa watu alale pabaya au asile anachotaka kwa wakati
  5. True Man11

    Mama yangu anataka mkwe, na sina hata girlfriend

    Wakuu mpo salama humu?? Mama yangu anataka nioe tangu mwaka juzi mpaka mwaka huu ila bahati mbaya sijaona mke sahihi wa kuoa, kila nayempata nikiwa naye kwenye mahusiano naona kabisa hawezi kuwa mke, sitaki kuoa kumfurahisha bi mkubwa nataka kuoa niwe na familia imara na ni enjoy kuwa na mke na...
  6. True Man11

    MKE WANGU NAOMBA UJE SASA

    hahaaaaaaaaaaaaa, sijamaanisha tak** nimesema model mwenye nyama. :D:D
  7. True Man11

    MKE WANGU NAOMBA UJE SASA

    Maisha unamfanyia nani sasa mkuu? mara nyingi tunatafuta sababu ya familia zetu mkuu, mama/baba/mke/watoto..............................
  8. True Man11

    MKE WANGU NAOMBA UJE SASA

    amended. Asante
  9. True Man11

    MKE WANGU NAOMBA UJE SASA

    Uwe mrefu flani hivi, shep ya ki model mwenye nyama, rangi yoyote, kabila lolote, dini mkristo uwe mkoa wowote ila tutaishi dar, kama umebahatika kupata mtoto naomba isiwe zaidi ya mmoja, miaka kuanzia 22 - 30, muhimu saana uwe ushaamua kuwa mke, ndoa yetu mwaka huu Mungu akijaalia, kama ni wewe...
  10. True Man11

    Nielekezeni machimbo ya kula bata Tanga

    Hapana hii, pisi za kinyumbanii
  11. True Man11

    Nielekezeni machimbo ya kula bata Tanga

    Noamba chimbo la mizagamuo, watanga wenyewe walee
  12. True Man11

    Nielekezeni machimbo ya kula bata Tanga

    Wakuuu, Nimekuja Tanga leo kwa mara ya kwanza, naomba wenyeweji mnipokee na mnaoijua Tanga naomba mniambie wapi napata usingizii mzuri? Nitakuwa hapa kwa siku mbili na mambo yangu kidogo, naombeni machimbo ya vitu vizuri vyovyote vya Tanga😊
  13. True Man11

    Natafuta mwenza wa maisha

    Karibu Sana PM ipo wazi
Back
Top Bottom