Recent content by True Life

  1. T

    JamiiForums Tanzania The mwalimu nyerere foundation na siasa za tanzania: Kuna maslahi ya taifa?

    Hapa kuna harufu ya udini!! Tusijende hoja katika misingi ya dini, tutahatarisha amani ya taifa letu.
  2. T

    JamiiForums Tanzania Prof. Assad amlipua Magufuli kwa ufisadi uuzaji wa nyumba za Serikali

    Tumuombee Mungu aweze kutenda haki kwa kuzingatia maslahi mapana ya taifa bila woga wa mamlaka iliyomteua.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Waziri Saada Salum Mkuya ulilidanganya bunge kwa faida ya nani?

    Kwa kauli yake bungeni, na kwa hali ilivyodhihirika sasa, inafaa ajiuzulu.
  4. T

    JamiiForums Tanzania Katibu wa CHADEMA Same akiri kupoteza mitaa na vijiji 100

    Mi nasema apigwe tu!
  5. T

    JamiiForums Tanzania Revealing: Hawa ni baadhi ya wanufaika wa Escrow kupitia kwa Rugemalira (Clue 2)

    Somo tunalojifunza hapa: Ni heri wawekezaji wazawa hata kama fisadi, mgao wa Seth u wapi?
  6. T

    JamiiForums Tanzania Kashfa ya escrow sasa CCM anayebaki msafi ni Mheshimiwa Wassira tu

    Yeyote anayeshabikia katiba ya mafisadi amepoteza sifa ya kugombea uraisi.
  7. T

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Kauli walizowahi kusema viongozi kuhusu kuomba misaada

    You need to specify the source of your quotes so that we can verify.
  8. T

    JamiiForums Tanzania UKAWA Wanatumiwa Kuleta Machafuko

    Huyo Agustino Matefu kama amesema haya nje ya bunge kwa nini asishtakiwe mahakamani?
  9. T

    JamiiForums Tanzania JK awapuuza Kinana na Nape: Mawaziri mizigo wapeta

    Ushauri wangu kwa Kinana na Nape wajiuzulu kulinda heshima zao.
  10. T

    JamiiForums Tanzania Burundi nao waitosa Tanzania!

    Kwa sasa hivi mustakabali wa Tanganyika na Zanzibar unahitaji kipaumbele. Watanganyika wapate nafasi ya kuamua juu ya ardhi yao na rasilimali zilizomo.
  11. T

    JamiiForums Tanzania Mwigulu, CCM hili mnalijua kweli?

    Nafikiri hizo ahadi ziko katika toleo la kwanza enzi za Mwalimu. Naomba mwenye Azimio la Zanzibar atuwekee hapa tuone kama bado zinakubalika.
  12. T

    JamiiForums Tanzania Kikwete's Regime Exposed: Activists report to US Congressional Committees... For Your Eyes Only

    Hii inanikumbusha tukio jingine la awamu ya pili ambapo raisi alikifunga chuo kikuu cha Dares Salaam (UDSM) kwa miezi nane bila kujali madhara kwa jamii. Ikumbukwe wakati huo vilikuwepo vyuo vikuu viwili tu: UDSM na SUA.
  13. T

    JamiiForums Tanzania Miaka 5 ya mwisho ya Kikwete na ukandamizaji kwa jamii ya Kiislam

    Kutegemea Kikwete awabebe waislamu kwa kuwa yeye ni muislamu ni fikra potofu. Hawezi kufanya hivyo katika nafasi yake kama raisi wa Watanzania wa imani zote. Wale wanaomchagua kiongozi kwa kuangalia dini yake hata kama hafai wanatumia vibaya kura zao. Ndio hao tunawaona wanaanza kulalamika.
  14. T

    JamiiForums Tanzania Kukohoa zaidi ya wiki mbili siyo Kifua Kikuu

    Nimeona mabango kwenye zahanati na hospitali yanayowashauri watu wanaopatwa na kikohozi kuwa kikiendelea zaidi ya wiki mbili wakachecki kifua kikuu. Kulingana na utafiti uliofanywa hivi karibuni imeonekana kwamba ugonjwa wa kikohozi hauishi mapema hivyo. Pia tuanashauriwa tuwe wavumilivu...
Back
Top Bottom