Recent content by Troubleshooter

  1. Troubleshooter

    JamiiForums Tanzania Nimeishi na mwanamke miaka mitatu bila kupata mtoto, nifanyaje

    Hapo tayari unakuwa umeisha wapa code waganga. Mganga haambiwi chochote yeye acheki tu.
  2. Troubleshooter

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Boniface Mwangi amepigwa na kuteswa na mamlaka za Tanzania na kutelekezwa Ukunda, familia yake yathibitisha

    Vipi kuhusu kupigwa na kuumizwa hiyo pia ni sawa?
  3. Troubleshooter

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mke wa kuoa

    Hakuna tatizo ila kama hauko interested basi haina shida, nikutakie muda mwema Mimi Niko powa tu na najiamini kwa kila ninacho kifanya.
  4. Troubleshooter

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mke wa kuoa

    Ukisema romantiki unamaanisha nini? Sio wachaga wote wako hivyo Mimi ni tofauti.
  5. Troubleshooter

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mke wa kuoa

    No, nimezoea kuishi na mtu mwenyewe siwezi, nisije angukia kwenye maradhi.
  6. Troubleshooter

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mke wa kuoa

    Sikupata huko kote niliyempata hakuwa ridhiki niliishi naye safari yetu ikafikia ukingoni, tulibahatika mtoto lakini mwenzangu alibadilika mwishoni. Natafuta aliye serious popote pale hata kama humu yupo nitampokea tukiridhiana.
  7. Troubleshooter

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mke wa kuoa

    Nipo romantiki mimi
  8. Troubleshooter

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mke wa kuoa

    Habari kwenye jukwaa hili, natumai mu wazima wa afya. Mimi ni mtu ambaye niko busy na mara nyingi nashinda kwenye Computer kutokana na fani yangu ni IT. Sipati muda mwingi wa kutoka hivyo imekuwa ngumu kupata mwenzi wa maisha. Baada ya kuachana na partner wangu mwanzoni mwa mwaka huu nimekuwa...
  9. Troubleshooter

    JamiiForums Tanzania KERO Waziri wa Elimu, tunaomba msaada wako. Shule binafsi bweni hawataki tuone watoto

    Waziri aingilie kati vipi wakati umeshasema ni shule binafsi? Kila shule ina utaratibu wake, unadhani wakiruhusu hivyo kila mzazi kumtembelea mtoto wake anavyo jisikia kutakuwa na shule tena hapo? Na vipi kuhusu yule mtoto ambaye hato tembelewa huoni kwamba atakuwa anajisikia unyonge? Kama kuna...
  10. Troubleshooter

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Askari wa Hifadhi ya Jamii ya Iluma (WMA) wadaiwa kuchoma moto nyumba za watu na mali zao

    Hongera askari kwa kufanya kazi yenu wananchi wanaovamia hifadhi baadaye wanakuja kutengeneza mgogoro mkubwa wa ardhi, wanapoachwa huzaliana na kualika ndugu zao kuwaonyesha kwamba kuna ardhi ya Bure na hapo wanapovamia na kuanza kufanya shughuli za kijamii inakuwa vigumu sana kuwatoa.
  11. Troubleshooter

    JamiiForums Tanzania PhD ya Magufuli na wanasiasa wengine zichunguzwe upya!

    RIP Ben wa Saanane Ahsante Erick Kabendera kwa kutujuza ukweli.
  12. Troubleshooter

    JamiiForums Tanzania Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

    RIP Ben wa Saanane
Back
Top Bottom