Recent content by tropa92

  1. tropa92

    Yafuatayo yatafanyika Simba SC kuelekea Msimu wa 2023/2024

    Ila bado sijaona ya sawadogo
  2. tropa92

    Yafuatayo yatafanyika Simba SC kuelekea Msimu wa 2023/2024

    Jamaa kapita mule mule Hakika ulileta taarifa sahihi asilimia 98
  3. tropa92

    Professor Nabi anza na kikosi hiki kwenye mechi ya marudio dhidi ya Marumo Gallants

    Japo mpira unadunda sioni timu ya kupindua meza 2 bila nyingi sana
  4. tropa92

    Yanga ina bahati ya kukutana na timu ngumu ngumu

    Plateu united nao wamemfunga esperence ya tunisia Ila hao hao plateu waliwahi fungwa na simba hapo hapo kwao Sasa ukiamua kulinganisha linganisha kotekote Kwa hio esperence ni wepesi na simba ni wagumu?
  5. tropa92

    Man Utd walifanya kosa la Karne la Kutompa timu Conte

    Conte akiipa ubingwa tot ndo nitaamini yy ni bingwa chelsea na juve zina DNA ya makombe hivo sishangai kubeba ndoo kwa kocha yoyote wa kujitambua
  6. tropa92

    Macho yangu yamepoteza nguvu ya kuona karibu na mbali

    Njoo upate tiba kwa vitu asilia Utakaa sawa
  7. tropa92

    Carlo Ancelotti ndio kocha bora katika historia ya mpira wa miguu

    Ndo mjue timu inamchango mkubwa Alikuwa everton hakuna maajabu aliyo fanya
  8. tropa92

    La Liga ni bora kuliko EPL

    Barca kateswa sana na bayan huku barca wakipeana shughuli isiona mshindi dhidi ya chelsea Kila timu nakibonde wake
  9. tropa92

    Timu za Uingereza zinakwama wapi?

    Mwaka jana real alitolewa na chelsea mtoano
  10. tropa92

    La Liga ni bora kuliko EPL

    Chelsea akiwa namba 6 kwenye ligi aliweza kumbonda barcelona bingwa wa laliga kwa misimu 5mfululizo Chelsea mwaka jana alimbonda atletico bingwa wa laliga na madrid mwenyewe akiwa nafasi ya 3 Ni mara nyingi tu madrid amechukua ubingwa wa ulaya huku akiwa sio bingwa wa ulaya Hata liver...
  11. tropa92

    Yanga hakuchukua ubingwa (1985, 1989,1992,1993 na 1998) Wametuchomekea kwenye orodha yao

    Kwahio hizo mara 27 ni pamoja na muungano?
Back
Top Bottom