Recent content by Troi2020

  1. T

    Je ni siku ngapi Ikulu wanatakiwa kushughulikia kesi ya mtumishi wa umma

    Habari za Jioni WanaJf, Je naomba kuuliza Katika kesi za watumishi wa umma ambazo zinaenda Ofisi ya Rais (Ikulu) Je vielelezo vinatakiwa vipelekwe kwa muda gani pia kesi hiyo unatakiwa iwe solved kwa kipind gan na mwenye ushahidi wa hiyo naomba
  2. T

    Ni ofisi gani inatoa ajira bila kupitia utumishi na wana mshahara mkubwa?

    Wana jamii forum naomba kuuliza ni ofisi gani inatoa ajira yenyewe bila kupitia utumishi yani wana kibali cha ajira na wana mshahara mkubwa kwa BBA ya accounting kabla ya kupata CPA Pia ni ofisi gani ambayo interns wanalipwa hela kubwa😂
  3. T

    Ni nani huyu Waziri Rajab Salum, Katibu binafsi wa Rais Samia?

    Sijaelewa ndugu yangu hapa
  4. T

    Ni nani huyu Waziri Rajab Salum, Katibu binafsi wa Rais Samia?

    Ndio ndugu yangu sana tu Yeye naona anaweza akanisaidia kwenye hili Ova Kamanda Mrangi
  5. T

    Ni nani huyu Waziri Rajab Salum, Katibu binafsi wa Rais Samia?

    Ndugu zangu za Asubuhi naomba msaada namba ya Waziri Rajab Salum Kingo
  6. T

    Ujumbe wa kutafakari kutoka kwa Waziri Salum, Katibu binafsi wa Rais Samia

    Habari ndugu zangu Mwenye namba ya Waziri Rajab Salum Kingo naomba mnisaidie
  7. T

    SoC04 Hatua gani zichukuliwe kuwainua wanawake katika nyanja ya elimu ifikapo 2050

    WOW, HAKIKA WANAWAKE KAMA NYINYI MNAFAA KUPEWA KIPAUMBELE. HONGERA SANA. BINTI PENDO
  8. T

    SoC03 Kuongeza uwajibikaji katika sekta ya elimu

    Kuongeza uwajibikaji katika sekta ya elimu ni jambo muhimu sana kwa maendeleo ya nchi na ustawi wa jamii. Hatua za kuboresha uwajibikaji zinahitaji kufanywa katika ngazi zote za mfumo wa elimu, kutoka kwa serikali na taasisi za elimu hadi kwa walimu, wanafunzi, na wazazi. Katika makala hii...
  9. T

    SoC03 Afya bora kwa wote: Jinsi ya kufika malengo ya utawala bora

    Afya bora kwa wote ni lengo muhimu katika kujenga jamii yenye ustawi na maendeleo endelevu. Utawala bora ni msingi wa kufanikisha lengo hili kwa kuweka mifumo imara na inayozingatia usawa katika utoaji wa huduma za afya. Kuimarisha utawala bora kunahitaji ushirikishwaji wa wananchi, uwazi...
Back
Top Bottom