duuu kweli kazi ipo kuwaelomisha watanzania Kama Hawa kweli taifa na serikali Ni kitu kimoja??.serikali inaweza kuvunjwa na kuondolewa madarakani ktk kuongoza taifa na wakachaguliwa wengine katka taifa kua serikali ya kuongoza taifa.taifa Ni watu wote na rasilimali katika nchi.mwisho taifa...
mi binafsi ningrpenda hats Kama uchunguzi was kumtambua aliehusika na shambulio la tundu lissu basi hata ipatikane riport kua CCTV camera ilikuaje zkatolewa baada tu ya shambulio la mbunge tundu lissu!!!.
Jamani watanzania tuwe makini kuna wengine wanasema rais akubari kusaini hata rasimu ya katiba hawajaiona mpaka sasa na kama wameiona weni wao hawajaisoma na kuimaliza na kama wamemaliza hawajaielewa.hivyo tuwe makini tusipelekwe kama gari bovu tafuta rasimu ya katiba usome ndio utoe hoja ya...
Serikali kuwa makini ktk hili kwani msitake kuturudisha kuwa wategemezi.bora kununua sukari ya ndani kwa bei kubwa tuongeze kipato na uzalishaji zaidi kuliko kununua sukari kwa bei ya chini kutoka nje na kuua viwanda vyetu vya ndani.hiyo ni changamoto serikali isizubae ktk hili kwani uchumi wa...
Mmmmh kweli watu balaa wamegundua mbinu mpya ya kwamba ukitaka kuzima moto ni kupambana na moshi.kamwe hiyo kazi haitofanikiwa hata siku moja.wawaachie wakina masogange warudi kwenye chanzo kwa kina kinje na wengineo kazi itafanikiwa.
Mbivu na mbichi 2015.harakati za ukombozi haziji kidezodezo,mfa maji hakosi kutapatapa chadema tukaze kamba.wao wanapowashambulia kwa risasi kavu wanaoandamana kudai haki si uvunjifu wa aman ila kupitisha muda wa kumaliza mkutano????
kwa kweli we bwana uko sahihi cha msingi wa dada ni kutulia ili kupata wachumba wenye nia njema kwani mwanaume makini humhitaji mwenza mwenye msimamo na kujiamini.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.