Recent content by tris

  1. T

    Sababu 10 za kuwachukia madaktari

    kila mtu anaishi ili atimize kusudi fulani. km una ushahidi kuwa madaktari hawatimizi wajibu wao ipasavyo au ni wabaya tu upeleke kwenye vyombo vya sheria waadhibiwe. pia siyo vibaya kuwashauri ili tujenge jamii yenye utengemano. pia nakushauri ndugu mleta mada ujitafakari ili na wewe ujue km...
  2. T

    Chuo Kikuu cha Sayansi na Tiba cha Bugando: Hatubadili vigezo vya ufaulu

    safi sana bugando. endeleeni kukaza. naona hii nchi huko tunakoelekea hata ukiwa na apgar score ya mbili utaweza kwenda medical school
  3. T

    AIBU KUBWA Hospitali ya Mko wa Arusha hawana Kipimo cha ENDOSCOPE duuuh

    mbona kawaida sana kwa nchi yetu...endoscopy ni kipimo specialized sana kuna vingine basic kabisa vinakosekana hata huko unapoambiwa uende. chezea wanasiasa wewe
  4. T

    Unafiki wa Zitto Kabwe na suala la Posho - Lema

    nilikuwa nawakubali sana. nilishaanza kuwaamini kuwa mnafaa kuongoza nchi. lakini haya yanayotokea. mwigamba vs mbowe...lema vs zito. hamna tofauti na wenzenu wanaojiita serikali sikivu. shame on you cdm
  5. T

    Serikali yatangaza viwango vipya vya alama za ufaulu elimu ya sekondari

    Mbavu sina....... yaani kila kitu wanalazimisha political solution....ndyo maana majirani hawatushirikishi kwenye mambo yanayohitaji userious
  6. T

    Serikali yatangaza viwango vipya vya alama za ufaulu elimu ya sekondari

    BIG RESULTS NOW. Badala ya kuboresha utoaji wa elimu, kuongeza walimu, kuwapa motisha walimu, kununua vitabu; kununua vifaa vya maabara, kuboresha mitaala WAO WANALEGEZA MAKSI ILI IONEKANE WATU WANAFAULU KULIKO ZAMANI. 2014-2015 KISHA WATASIMAMA MAJUKWAANI KUSEMA WAMEBORESHA ELIMU. HAHAHAHAAAAA...
  7. T

    Muhimbili: Mwandishi ajifanya mgonjwa, nusura apasuliwe tumbo

    all in all ni kwamba idea ya mwandishi ni nzuri lakini hiyo habari inahitaji editing ya mtu mwenye taaluma ya afya. mfano: kujua km mtu ana malaria kunakuzuia kumpima typhoid? kujua km mtu ana malaria kunakuzuia kufanya full blood picture? mtu asipokuwa makini anaweza kufanyiwa upasuaji...
  8. T

    Muhimbili: Mwandishi ajifanya mgonjwa, nusura apasuliwe tumbo

    Ndyo maana nikashauri awe na angalau taaluma kidogo kuhusu jambo analoliandikia. Angekuwa na taaluma angeweza kuzijua changamoto zilizopo kwenye sekta ya afya ndipo achague moja liwe specific objective yake. Vinginevyo ndyo unatokea mkanganyiko kama huu. Outcome ya kazi yake hii ni kujenga chuki...
  9. T

    Muhimbili: Mwandishi ajifanya mgonjwa, nusura apasuliwe tumbo

    nadhani mwandishi alikuwa na wazo zuri tu. kufichua maovu ni jambo jema. Lakini ninashauri mwandishi awe na elimu katika jambo analotaka kuliandikia. kwa nchi zilizoendelea kuna waandishi wenye taaluma ya sheria, waandishi madaktari, waandishi wanamichezo n.k .Hata ukimsikia anamhoji mtu...
  10. T

    Wataalamu wa teknolojia waichambua video ya Lwakatare, baadhi wadai ni halisi!

    Hao ndyo wataalam tulio nao....Tuachane na video kwanza...Mwandishi wa hii habari ni original? Mbona kama naye feki na wataalam wake
  11. T

    Nakala ya karatasi na mwandiko wa Lwakatare wakati anatoa maelekezo hii hapa

    this thing is fake...ila kwa Polisisiem wa tz cjui? nchi inaendeshwa kama movie, tena series kabisa.
  12. T

    Ukabila ndio umembeba Kenyatta, si sera!

    hatukumwamini. alishinda ki-magumashi km huyo kenyata wako
Back
Top Bottom