Wana jamii habari zenu.
Naomba kutambua kisheria hivi zile faini za mahakamani pale mtu anapokutwa na hatia. Hasa kesi za uhujumu uchumi na utakatishaji na kupewa hukumu na mahakama kwamba alipe faini ya shilingi kadhaa au kwenda jela miaka kadhaa, mfano ile kesi ya dhahabu ya Mwanza, wale...
Ila ssi watanzania ni wakulalamika xn ht km selikaliiii basi haikuwa ni kwa bifu ni kwa ajili ya watanzania. Sema hatujui mambo ya ndani. Hawa matajir tuwaone hv hv tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.