Recent content by triple

  1. T

    JamiiForums Tanzania Kero ya mawakala wa maegesho

    Hii inakera sana siku watashikishwa adabu itakua funzo manake hata hizo faini sijui anapelekewa nani na ni mradi wa nani na ili iweje ni shidaaaaa
  2. T

    JamiiForums Tanzania Kero ya mawakala wa maegesho

  3. T

    JamiiForums Tanzania Naomba simu namba ya Shule ya Precious Blood Arusha

    Naomba mwenye namba za shule ya sekondari precious blood Arusha,anisaidie asante
  4. T

    JamiiForums Tanzania Re: Jaman huu utaratibu wa English Medium Schools na Waalim wao Vipi?

    Mtoto mpeleke english medium iliyo karibu tatizo unampeleka shule karibu km 15 na zaidi.lazima gari ipite mapema na achelewe kurudi.akienda shule ipo karibu gari haiwezi kumpitia asubuhi sana na hawezi kuchelewa kurudi na atapata muda wa kutosha kufanya home work pomoja na kucheza na mambo...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Alhamisi tarehe 27 Machi, 2014 - Uwasilishaji wa kanuni za Bunge

    Acha kupotosha ukweli mi mwenyewe naangalia bunge alikosea kutamka na amejisahihisha ni amesema kura ya siri
  6. T

    JamiiForums Tanzania mvua kubwa ya leo dar

    Nimerudi nyumbani nimekuta maji yameingilia dirishani yamejaa ndani sasa kwa wenzangu sijui hali ikoje hususani wa mabondeni
  7. T

    JamiiForums Tanzania Nina ujauzito - nimekata tamaa

    Hahahahahahahaaaaaaa
Back
Top Bottom