Recent content by Triple A

  1. Triple A

    JamiiForums Tanzania Huyu mtu alikuwa jini au? Nilisoma na mwanafunzi kipanga ambaye ni mtoro, mtundu, anavuta bangi, kila kesi yumo, n.K

    Umbwe Sec alikuwepo jamaa moja naona ni kama unamzungumzia yeye
  2. Triple A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemfumania mpenzi wangu akiwa na mama yangu mdogo

    Bayo gamila ....
  3. Triple A

    JamiiForums Tanzania TANZIA Katibu Mkuu Kiongozi, John W. Kijazi afariki dunia

    Garmaa in hatari sana
  4. Triple A

    JamiiForums Tanzania Fiat 682 n4 long chasis 22 ft

    Kumbe umeonea huku....
  5. Triple A

    JamiiForums Tanzania Niuzie Fiat 682

    Mimi nipo arusha wewe uko wapi
  6. Triple A

    JamiiForums Tanzania Niuzie Fiat 682

    Wapi huko mkuu
  7. Triple A

    JamiiForums Tanzania Fiat 682 N3 inahitajika

    Nahitaji Fiat tajwa hapo juu,mwenye nalo au kufaham mahali inapatikana tuwasiliane please
  8. Triple A

    JamiiForums Tanzania Tunaomba serikali itusaidie wachimbaji wadogo

    mkuu wa wilaya tunaomba utusaidie sisi wachimbaji wenye leseni tuweze kuchimba madini na serikali iweze kupata mrahaba
  9. Triple A

    JamiiForums Tanzania Tunaomba serikali itusaidie wachimbaji wadogo

    jamani tusaidieni sisi wachimbaji wadogo wa madini ujenzi hapa babati
  10. Triple A

    JamiiForums Tanzania Tunaomba serikali itusaidie wachimbaji wadogo

    Duhh maskini sisi wanyonge pesa zetu zinateketea hivihivi huku tukiona bila kupata msaada wowote
  11. Triple A

    JamiiForums Tanzania Serikali inapoteza mapato kwa uzembe wa viongozi hapa Babati

    Yaani labda Mh Rais asifanye ziara mkoani manyara hususan babati,hilo bango nitakalobeba lazima mh Rais ataniona tu,nitahakikisha kufanya kila litakalowezekana mkuu wa nchi hii anione, Siku hiyo ndio siku yakumwaga ugali potelea mbali......
  12. Triple A

    JamiiForums Tanzania Serikali inapoteza mapato kwa uzembe wa viongozi hapa Babati

    Mbona kama mmekuwa vipofu hamuoni uzi huu
  13. Triple A

    JamiiForums Tanzania Serikali inapoteza mapato kwa uzembe wa viongozi hapa Babati

    Hivi inamaana hapa jf hakuna wafanyakazi wa serikali humu?
  14. Triple A

    JamiiForums Tanzania Serikali inapoteza mapato kwa uzembe wa viongozi hapa Babati

    Migodi ilifungwa kwa barua maalum ambayo ilikataza kazi ya uchimbaji madini katika migodi husika mpaka muafaka utakapo patikana,lakini cha kushangaza hawa jamaa wamedharau agizo hilo huku serikali ya wilaya ya babati ikibariki haya kwani mkuu wa wilaya alipewa nakala ya barua yakusimamisha kazi...
Back
Top Bottom