Hii tabia ata sielew itaisha lini kuna watu waliniuzi bado wapo moyoni pia roho ya kusamehe sina labda kosa liwe dogo
Sent from my itel S31 using JamiiForums mobile app
Na kama mkubwa ukinisema tegemea mawil kukujibu ovyo au kukaa kimya kabisa kama bubu itategemea nipo kwenye mood gani.
Sent from my itel S31 using JamiiForums mobile app
Yani hii tabia nashindwa kukaa kweli na watu ya kushinda kukasilika kasilik bila sababu utakuta asubuhi tumeamka ukanambia mambo nakujibu kwa hasira poa alafu sitaki uendelee kuongea ongea tena nataka ukae kimya najikuta kutotaka kunyanyua kinywa kuongea ongea
Sent from my itel S31 using...
A! Boss siwez mnunia nishawahi Fanya kazi akinisema najifungia sehem nalia hasira zikiisha naendelea na kazi namchekea kwa nje tu ila mpenzi ndo ilikuwa kazi yangu Mara namnunia Mara nafurahi Mara nanuna tena utakuta ajanifanya chochote kile sijui Nina mapepo
Sent from my itel S31 using...
Nina tabia ya kukasilika bila sababu; pia naweza kumkasilikia mtu yeyote yule bila sababu yani naenda kwa mood tu mda wote yani naweza Cheka na wewe saizi baada ya mda mchache nabadilika usoni nikawa na sura ya kununa au huzuni!
Naweza amka siku nzima nisiongee na mtu sana sana nikakusalimia...
Tatizo lako kama langu ila Mimi ni mvivu wa kunywa maji ila saiz iyo hali imepotea sijui imepotea na maji bado situmii sana yan ilikuw kila nikikojoa nikimaliza tu napata maumivu siwez kukaa chini hadi upite mda flani bas nikawa nakaa na cephalexin nikion iyo hali nakunywa vidonge viwil baada ya...
Tangulia mbele yangu bwana kanyoshe mapito siwezi kwa ufahamu wangu nataka Leo nishinde by ambwene nampenda sana
Sent from my itel S31 using JamiiForums mobile app
Ben Paul kuna nyimbo zake zile za mwanzo kabisa zilinivutia sana zikanifanya nimpende sana kukicha ni maneno maneno
Sent from my itel S31 using JamiiForums mobile app
Mimi naanza na Wolper na Irene uwoya pia Lulu na Diana Kimario hawa watu wanapendeza sana wakiigiza pamoja movie inakuwa tamu sana wanavutia pia katika uigizaji kimavazi hadi uongeaji, kabla sijaanza kuangalia movie huwa napenda kuangalia wahusika nikimuona mmojawapo lazima nitaiangalia iyo...
That s why in history we have evolution of man everything is going stage by stage even a child who has born today will grow up stage by stage so just leave me with my poor English say thanks to God you have better than my.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.