Hawa jamaa hakika nawachukia sana,mimi ni kati ya wateja niliekuwa natumia mtandao huo wa tigo.kifupi sijawahi kukopa salio wala kuwa na dhamira hiyo.lakini mara kadhaa kila niwekapo salio la vocha hawa jamaa wamekuwa wananikata na kunitumia umerudisha kiasi chote cha mkopo.nikalifuatilia hili...
Brother nakupa ushauri usimpe chochote maana ni wepesi kusahau.ila muoneshe akili yako kwa kufanya vitu vya maana.mfano kuwa na geto kali na safi,usafir mzuri,nunua kiwanja na mtoe out siku moja moja.sio unakaa kwa wazaz halafu unawaza nimpe zawadi atakutana na wenye nazo utalia.
Mtoa maada unaonekana una hila tu,ungeniletea uzi na vielelezo kwamba doctor kadanganya ELIMU yake na umiliki wa kampun yake na hayo mabillion yake tungekuelewa na hicho ndio kinatupa sintofahamu.sio topic yako ya umri hata angekuwa na miaka buku sisi haijarishi..lkn hizo sintofahamu zake ni...
Nina maanisha demu alivyopewa jibu na jamaa kwamba hana pesa ya fiester.kama kweli demu anampenda mshikaji hata hiyo fiester asingesubutu kwenda au kutopokea au kutompigia cm jamaa.
Pili:Dem alienda fiester kama kawa bila jamaa yake.swali la msingi unajua alienda na nan fiester?au alilala wapi...
Sisi wa tanzania shida sana.kila kitu unaonewa,unalalama tatizo tunapenda mteremko.ila jua kwamba kazi ni masirahi ya mtu kila mtu anapigana kupata masirahi kwa usawa,ukishindwa kubali wenzio wamekuzidi na hilo sio tatizo la utumishi ni lako kwa kutojiandaa vzr na mitihani.kifupi utumishi wapo...
Ndoa ni fumbo kama kifo vile,ndoa sio kama hesabu 2+2=jibu 4.ndoa haina formular ndio maana mpaka leo maisha ya ndoa hayafanani kwa kila mtu.maisha ya ndoa yako hayafanani na ya mtu mwingine yeyote hapa duniani.ndoa ni akili au fikra zenu wew na mke wako.
Post sent using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.