Kama nimemuelewa vzr Waziri ni kwamba wanaorudishwa kazini niwale walioondolewa kazini kwa kutokuwa na elimu ya kidato cha nne na sasa wameshajiendeleza na sio wale 12,000 waliogushi vyeti.
In medical issues hakuna kitu inayoitwa "kushurutisha/kulazimisha". Kinachotakiwa ni kutoa taarifa sahihi ya huduma na mlengwa aamue kuridhia kupata huduma paswa kupitia taarifa sahihi alizopatiwa (Informed consent). Huo ndio UTABIBU.
"Kwamba tuna uwezo mkubwa!" Big no! Huo uwezo tungekuwa nao tungekuwa mbali sana. Wakati wenzetu wanatoboa anga na kufanya utalii wa anga sisi huku daah!
" Kwamba hatujitambui" Hii nadhani ni kweli. Ila sidhani kana wazungu hawataki tujitambue. Hii ni fix. Wazungu wanajitahidi kutoa tongo tongo...
Naomba hili AGIZO liwe la nchi nzima. Maana hawa chinga hawana adabu. Kwenye njia za wenda kwa miguu wanapanga biashara zao, kwenye vituo vya kupumzikia abiria wao wamefanya ofisi zao na ukienda STAND za mabasi ndio balaa.
Stand ya MOROGORO imevurugwa na hawa binadamu. Ni uchafuzi kwenda mbele...
Ndugu tekelezeni majukumu yenu kwa mujibu wa taaluma zenu. Ukweli ni kwamba, Nyie mabwana afya jukumu lenu kubwa ni kuzui maradhi (Prevention). Lakini bado tunamaradhi kibao. Tatizo nini?
Wauguzi nao msingi wa taaluma yao ni kuuguza. Wanapaswa kukaa muda wote na mgonjwa kwani ndio msingi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.