Recent content by trem

  1. trem

    Baba unawapa watoto wako muda wa kukaa nao?

    Yes hii kuna ukweli flani hivi
  2. trem

    Upimaji wa ardhi ya makazi ni muhimu Ili kuepusha majanga

    Ni wasomi wa aina gani unamaanisha? Maana usikute unamaanisha wasomisiasa
  3. trem

    Baadhi ya walimu wa shule za msingi ni "Semi-literate"?

    Mkuu unamaanisha hakuna walimu siku hizi ila kuna nini?
  4. trem

    Mchanganuo wa gharama ya kulima ekari moja ya mahindi

    Hiki ni kilimo Cha mtandaoni tu uharisia hauko hivyo watu tumelima sana lakini hatujawahi kupata gunia 25 kwa heka
  5. trem

    Misri yakataza vazi la Niqab katika shule za Serikali

    Mwl kujua ni mwanafunzi gani anahitaji msaada zaidi ili aelewe kile mwl anachokusudia ni kazi ngumu maana hata haoni sura ya mwanafunzi usoni kujua kama anafuatila kile kinachofundishwa ni shida Ile dhana ya facial expression mwl hawezi ona
  6. trem

    Naomba ushauri kuhusu dini

    Mwache adanganywe na wazee wa kufuga magini
  7. trem

    Naomba ushauri kuhusu dini

    Awe msaada kuwapotosha wengine ili wangine ili waanze kupata adhabu ya Kaburi baada ya kufa Sikiliza nafsi yako inakwambia nini
  8. trem

    Kujifungua kwa upasuaji linaenda kuwa janga la Taifa

    Siyo Dr ni mama mwenyewe ana opt hiyo njia bila shida yoyote kwake wala mtoto haya yanafanyika
  9. trem

    Jim Ike atangaza rasmi kusilimu

    Uislamu ulianzia pale mohamedi alipokuwa kwenye mapango huku akiota ndoto baada mke wake bi khadija alipomfuka kwake
  10. trem

    Jim Ike atangaza rasmi kusilimu

    Yaani hii dini inachekesha sana eti mbinguni kuna mabinti wa kukupa Raha pindi ukifa ni dini ya ajabu kweli hata aibu hawana kabisa
  11. trem

    Ijuma-ni siku nyeupe

    Inaonyesha hata elimu ya dini huna kabisa. Mzee mbona unaishi kizembe sana au kazi yako kutukana tu huna cha kufanya Jifunze kutafuta maarifa
  12. trem

    Ijuma-ni siku nyeupe

    Wanasema elimu ni kama bahari Tumia akili yako kufikiri then fanya utafiti kidogo kwa kutumia akili then chagua cha kuamini
  13. trem

    Ijuma-ni siku nyeupe

    Itakuwa njema sana kwake maana adhabu ya Kaburi kwake haipo atakuwa anastarehe tu Kaburini
  14. trem

    Ijuma-ni siku nyeupe

    Ni kweli elimu haina mwisho maana baada ya kufa kuna elimu tena ya ahela
  15. trem

    Ijuma-ni siku nyeupe

    Kulingana na maneno ya mwenyezi Mungu mtu Akifa na akazikwa siku ya ijumaa hatapata adhabu ya Kaburi so kuna Raha yake mtu kuzikwa siku hiyo kulingana na Imani inavyosema
Back
Top Bottom