Recent content by TREE OF LIFE FOUNDATION

  1. T

    JamiiForums Tanzania Fanya haya utakapo kuwa umepotea njia msituni

    Lishe ya ubongo
  2. T

    JamiiForums Tanzania Imaging Africa kitendo chenu cha kukata miti usiku Bamaga Mwenge ni cha kihuni, na ni uharibifu wa mazingira, hakikubaliki

    uttoh2002, miti inekatwa Jumamosi usiku, je ni manispaa gani hufanya shughuli zake usiku? Tayari tumewajulisha wenzetu wa Baraza la Mazingira NEMC na pia leo jumatatu tutaonana na mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Kinondoni.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Imaging Africa kitendo chenu cha kukata miti usiku Bamaga Mwenge ni cha kihuni, na ni uharibifu wa mazingira, hakikubaliki

    Kampuni ya matangazo ya Imaging Africa usiku wa Jumamosi tarehe 24.06.2023 walifanya uharibifu mkubwa wa kimazingira kwa kukata miti iliyooteshwa pembezoni mwa barabara. Imaging Africa imefyeka miti hiyo ambayo hawakushiriki kuiotesha wala kuitunza. Wamefyeka miti ili ubao wao wa matangazo ya...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Imaging Africa kitendo chenu cha kukata miti usiku Bamaga Mwenge ni cha kihuni, na ni uharibifu wa mazingira, hakikubaliki

    Kampuni ya matangazo ya Imaging Africa usiku wa jumamosi tarehe 24.06.2023 walifanya uharibifu mkubwa wa kimazingira kwa kukata miti iliyooteshwa pembezoni mwa barabara. Imaging Africa imefyeka miti hiyo ambayo hawakushiriki kuiotesha wala kuitunza. Wamefyeka miti ili ubao wao wa matangazo ya...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Faida 20 za Kula Parachichi

    Hongera sana. Hili ndio tunda lenye viini lishe vingi zaidi
  6. T

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha parachichi ni njia rahisi ya kuufikia utajiri mkubwa

    Uhitaji ya zao la parachichi unazidi kuongezeka siku hadi siku kutokana na kuwepo kwa viwanda vingi vinavyotumia zao hili la parachichi kama moja ya malighafi za kutengenezea bidhaa mbalimbali kama mafuta na bidhaa nyingine nyingi. Lakini pia zao la parachichi limekuwa hitaji kubwa sana...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Faida 20 za Kula Parachichi

    FAIDA ZA PARACHICHI (Faida 20 za Kula Parachichi) Parachichi ni aina ya kipekee ya tunda. Matunda mengi kwa asili ni wanga lakini parachichi limejaa mafuta yenye manufaa makubwa kiafya. Tafiti mbalimbali zilizofanyika zimebaini kuwa tunda la parachichi limesheheni manufaa makubwa katika afya ya...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Faida kuu 10 za tende kwa afya ya Binadamu

    Katika mwezi mtukufu wa Ramadhani, tende ndiyo tunda linaloliwa kwa wingi, pengine kuliko tunda lingine. Pamoja na kuwa ni tunda lenye ladha tamu na nzuri mdomoni, lakini kisayansi pia limethibitika kusheheni madini na vitamini lukuki, hivyo kuwa na faida nyingi kiafya. Katika makala ya leo...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha minazi ni utajiri uliopewa kisogo. Lima minazi kisasa, lima kibiashara

    Sita hadi saba, lakini kuna mbegu za miaka mitatu
  10. T

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha minazi ni utajiri uliopewa kisogo. Lima minazi kisasa, lima kibiashara

    Ni zao la kudumu, utaendelea kuvuna kwa zaidi ya miaka 90 hadi 100.
  11. T

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha minazi ni utajiri uliopewa kisogo. Lima minazi kisasa, lima kibiashara

    Kituo cha utafiti Chambezi Bagamoyo
  12. T

    JamiiForums Tanzania Michikichi fursa inayoweza kuwatoa kimaisha wakulima wengi

    KANUNI ZA KILIMO BORA CHA MCHIKICHI Miongoni mwa kanuni ya awali kabla ya zote ni Kuchagua eneo. Kanuni hii ni muhimu sana nayo inavigezo vyake ambavyo ni pamoja na:- 1. Liwe mabondeni lisilotuamisha maji muda wote. Lakini kama yanapita au kama yale ya maji ya mito kufurika ni mahala pake...
Back
Top Bottom