Hiyo ndio Tanzania sasa. Wewe uko Zanzibar unalalamika vumbi, wenzenu Mbeya wamelalamika hadi wamechoka
Kuna ujenzi wa barabara unaendelea Mbeya na vumbi lake ni mara 10 ya hilo unaloliona Zanzibar
Wahadhiri (Lecturers) wa Chuo Kikuu cha Multimedia nchini Kenya wameendelea na mgomo wao, huku wakiandamana wakiwa wamevaa madera ili kuvuta hisia za umma kuhusu malalamiko yao. Wahadhiri hao wanaitaka serikali kushughulikia madai yao kuhusu medical scheme, pension nk huku mgomo ukiendelea na...
CEO wa kampuni ya Dell Michael Dell pamoja na mke wake Susan Dell walikuwa White House tarehe 7 October na Rais Donald Trump wakijadili masuala ya teknolojia
Susan Dell, ambaye ni mke wa CEO wa Dell alihimiza Wamarekani kufungulia watoto wao Child Trump accounts kwa ajili ya kufanya savings kwa...
Hivi ni mimi peke yangu ndio naona kuna tatizo kubwa la unyanyasaji dhidi ya watoto Tanzania
Mwaka huu tumesikia kesi nyingi sana za watoto wa kiume kulawitiwa, watoto wa kike kubakwa na juzi tu huko Pemba kuna mwanafunzi ameuawa na kukatwa mkono
Sikuhizi pedophiles wameongezeka sana...
Hapana, hapaswi kupigwa risasi
Kama anapaswa kupigwa risasi toa reasons tuone logic yako ili tuone uwezo wako wa kufikiri
Taja sababu kwa nini anapaswa kupigwa risasi
Ni Miss Grand sio miss gland, cha kwanza
Pili Jihan hajawakosea chochote Watanzania, ni just another person ameomba support ya Watanzania na wamempa. Najua mnaweza kuunganisha unganisha mambo kuanza kuyahusisha na siasa mbovu za CCM na kuanza kumhusisha binti wa watu kwenye mambo ambayo hahusiki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.