Recent content by Travis wright

  1. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania kithembe kinasababishwa na nn? na tiba yake ni ip?

    kwahiyo ni kama mazoea mkuu?
  2. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania kithembe kinasababishwa na nn? na tiba yake ni ip?

    Hili tatizo kushindwa kutamka s na kutamka th badala yake ndio nnachomaanisha
  3. T

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli kuna ushirikina katika elimu

    Kuna rafk yangu amekuwa akisemwa sana kwamba anatumia ushirikina katka masomo na hiyo imetokana na kushikilia nafasi ya kwanza toka 4m 1 mpaka 4m 4...na amepata 1 ya 10 mtihan wa taifa..hivi aya mambo yapo kweli?
  4. T

    JamiiForums Tanzania Hahahahaha Jamaa katisha huku,hebu na nyie chekeni

    Filamu zisituharibu kiivyo
  5. T

    JamiiForums Tanzania Mwanangu anaweza pata shule ya advance kwa matokeo haya

    credit tat znatakiwa ndio...lakn cdhan kama unaweza soma ECA kama una C ya history,civics,english and D book keepng and commerc na F ya hesabu...labda unifafanulie hapo
  6. T

    JamiiForums Tanzania Naombeni nitajieni shule nzuri ye mchepuo wa ECA

    cjakuelewa bro
  7. T

    JamiiForums Tanzania Naombeni nitajieni shule nzuri ye mchepuo wa ECA

    poa..ntaangalia
  8. T

    JamiiForums Tanzania Naombeni nitajieni shule nzuri ye mchepuo wa ECA

    sawa nashukuru.
  9. T

    JamiiForums Tanzania Naombeni nitajieni shule nzuri ye mchepuo wa ECA

    nashukuru..Ada yake ni kias gan?
  10. T

    JamiiForums Tanzania Naombeni nitajieni shule nzuri ye mchepuo wa ECA

    nakubaliana na wew lakin shule nayo inahusika hasa kwa hiyo combination
  11. T

    JamiiForums Tanzania Naombeni nitajieni shule nzuri ye mchepuo wa ECA

    nashukuru...lakni hizo shule zna gharama sana..wazaz wangu hawawez kumudu
  12. T

    JamiiForums Tanzania Naombeni nitajieni shule nzuri ye mchepuo wa ECA

    co hvyo..cjazoea boys tupu toka o level
  13. T

    JamiiForums Tanzania Naombeni nitajieni shule nzuri ye mchepuo wa ECA

    Nimepata one ya 15 na nahitaj shule ya private ambayo ada yake ni nafuu kidogo na ina faulisha vizuri iwe ya mchanganyiko...msaada wenu please!
Back
Top Bottom