wew ndo hauko sahihi ni bib na bwana nyota nne na mkasi na hata gari lake linakua na nyota nne, huyo mwenye ngao nyota tatu na mkasi anaitwa luteni jenerali na gari yake pia inakua na nyota tatu
huyo jamaa alifanya jambo la akili sana kwa sabb kama angesema aanze kufyatua risasi bas kuna uwezukano mkubwa wale majambazi wange react na ingekua hali mbay zaid
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.