Recent content by tranter

  1. tranter

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania wengi hawasomi vitabu?

    Okay kiongozi nilitka kupata maoni yako tu, sometimes mtu unashindwa kuamini which is true kwasababu huyu analeta fact zake na mwingine fact zake, sometimes unaziona kama conspiracy theories
  2. tranter

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania wengi hawasomi vitabu?

    Mkuu nimeona makala mbalimbali kuhusu "the shape of the earth" vp maoni yako kwenye hili suala
  3. tranter

    JamiiForums Tanzania Nauza kitabu hiki kwa sailing 500,000/- tu soft copy!

    Mfano jaribio gan mkuu
  4. tranter

    JamiiForums Tanzania Nauza kitabu hiki kwa sailing 500,000/- tu soft copy!

    Kwel nimejaribu kusoma hiki cha book of Oberon Kuna practices nying,lakini ni kazi kupata baadhi ya vitendea kazi vyake
  5. tranter

    JamiiForums Tanzania Nauza kitabu hiki kwa sailing 500,000/- tu soft copy!

    Hiv kweny hii diagram unafanya process gan ili kuwin hapo
  6. tranter

    JamiiForums Tanzania Nauza kitabu hiki kwa sailing 500,000/- tu soft copy!

    Cjaelewa mkuu smokey na sandarusi ni vitu gan hivo
  7. tranter

    JamiiForums Tanzania Nauza kitabu hiki kwa sailing 500,000/- tu soft copy!

    Mimi nahitaji nikibet nishinde,so unanisaidiaje hapo
  8. tranter

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Unatafuta laptop bora kwa bei nafuu? Usihangaike tena!

    ungezipost pamoja na bei zake ingependeza zaid
  9. tranter

    JamiiForums Tanzania Je wewe ni developer Unatumia Languages kazi ku develop projects zako?

    Nimeanza kusikia hayo maneno nikiwa o-level,pia computer nilianza kutumia advance kidogo
  10. tranter

    JamiiForums Tanzania Je wewe ni developer Unatumia Languages kazi ku develop projects zako?

    So nibadili course au?
  11. tranter

    JamiiForums Tanzania Je wewe ni developer Unatumia Languages kazi ku develop projects zako?

    Ndio kwanza nipo first year,tunafundishwa c++ lakin hata sielewi sijui nini shida?
  12. tranter

    JamiiForums Tanzania HESLB yatangaza orodha ya pili wanufaika 2024/2025

    Mm account yangu haijaandikwa chochote, ndo nisubiri mpaka batch ya3 au inakuaje hapo mtoa mada
  13. tranter

    JamiiForums Tanzania DIT (Dar) au MUST (Mbeya) kwa kozi ya Computer Engineering?

    Nashukuru kwa ushaur
Back
Top Bottom