Mkuu hongera sana kukisoma hicho kitabu Wizard of the crow kwa jinsi nilivyokuwa kinakaribiana kabisa na siasa za EAST AFRICA nimekisoma mara Tatu bila kuchoka .Mwishoni niliumia sana Machokali kupotezwa .
Nimeteseka sana kuitqfuta jf kwenye simu yangu ,maana nili-update all apps badae nakuja naanza kuitafuta kwa kukariri logo ya zamani halafu logo mpya naiona lakini naipuuza like ni app imeji-install 😄
Kwanini kumekuwa na wimbi kubwa sana la fikra zinazofanana na andiko hili ? Yaani mwana-CCM akinyooka au akitoka CCM anaonekana anafaa kugombea urais upinzani ?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.