Wengine ni kama;-
- Zhu Xi
-Zhuang Zhuo
-Xun Kuang
-Shang Yang
Zhu Xi (1130 - 1200 )
Zhu Xi ni miongoni mwa wanafalsafa wa kichina maarufu zaidi. Zhu Xi (1130 -1200 ), Alikuwa mtu anayetunga maandishi, mwanahistoria, mwanafalsafa, mwandishi wa mashairi, na mwanasiasa wakati wa nasaba ya Song...