MAMLAKA YA USIMAMIZI WA BANDARI TANZANIA
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
UFAFANUZI KUHUSU WAFANYAKAZI TPA KUFIKISHWA KORTINI
Katika siku za hivi karibuni kumekuwepo na taarifa yenye kupotosha ambayo inasambazwa katika mitandao mbalimbali ya kijamii kuhusiana na watu wanaotajwa kuwa ni...
MAMLAKA YA USIMAMIZI WA BANDARI TANZANIA (TPA)
TANGAZO:
MAMLAKA YA USIMAMIZI WA BANDARI TANZANIA (TPA) INAPENDA KUUTANGAZIA UMMA KWAMBA, KUTAKUWA NA MNADA WA HADHARA KATIKA BANDARI YA MTWARA, UTAKAOFANYIKA SIKU YA JUMAMOSI, TAREHE 27 OKTOBA, MWAKA 2018 KUANZIA SAA NNE ASUBUHI MPAKA SAA NANE...
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Mhe. Dkt. Stephen Kebwe Stephen azindua rasmi michezo ya Bandari. Katika picha ni matukio mbalimbali kuhusiana na uzinduzi rasmi wa michezo ya Bandari 2018 uliofanyika katika uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro Jumatatu, Oktoba 15, 2018.
TPA YATOA MSAADA WA VIFAA TIBA KWA WILAYA YA MUSOMA VYENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 15!
Oktoba 02, 2017:
TPA imekabidhi jumla ya vitanda saba (7) vya kujifungulia akina mama pamoja na vyandarua mia tatu (300) kwa hospitali ya Rufaa ya Wilaya ya Musoma iliyopo Mkoa wa Mara.
Hafla fupi ya...
Kampuni ya MINOLACS ya Burundi imeahidi kuendelea kuitumia Bandari ya Dar es Salaam baada ya kuridhika na ufanisi wa hali ya juu wa kuhudumia shehena ya ngano Tani 12,000 za kampuni hiyo hivi karibuni.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni hiyo Bw. Munir Bashir ameyasema hayo katika barua yake ya...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imeagiza kuwa mali zote zilizokamatwa katika tukio la wizi wa mafuta katika jahazi MV JITAZAME lililokutwa katika eneo la Bahari Kuu, Kigamboni zitaifishwe.
Akisoma hukumu hiyo, Hakimu Mkazi wa Mahakama hiyo, G.A. Mwambapa ameagiza kwamba...
Mikakati ya kuongeza shehena katika nchi za DRC, Uganda na Zambia na nyinginezo ipo na tunaendelea nayo kupitia Idara ya Masoko. TPA inatambua umuhimu na mchango wa kila soko katika kuongeza pato la nchi.
Shehena ya Rwanda kupitia bandari ya Dar es Salaam katika kipindi cha miaka mitano imekuwa ikiongezeka kwa wastani wa asilimia 9.9 kwa mwaka kutoka tani 630,000 mwaka 2012/2013 mpaka tani 950,000 mwaka 2016/2017.
Haya yamesemwa na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania...
Mkuu wa wilaya ya Temeke ni Felix J. Lyaviva
Jina hapo juu ni kutoka tovuti ya Mkoa wa Dar es Salaam rejea Temeke | Mkoa wa Dar es Salaam kujiridhisha. Tunashukuru kwa maoni na pongezi zako.
TPA YATOA MSAADA WA MASHUKA 900 KWA HOSPITALI ZA WILAYA YA TEMEKE
Agosti 29, 2017
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imetoa msaada wa mashuka 900 yenye thamani ya Sh. Milioni Kumi kwa Hospitali za Temeke, Mbagala Zakheim na Round zilizopo katika Wilaya ya Temeke.
Msaada huo...
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mhandisi Ramo Makani akiongozana na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Hamad Masauni na Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Edwin Ngonyani wamefanya ziara katika Bandari ya Dar es Salaam tarehe 08, 2017 na kukutana Maafisa wa...
TICTS Kuilipa TPA Dola Milioni 14 Kodi ya Pango Kutoka Dola Milioni 7
Julai 06, 2017:
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) na Kampuni Binafsi inayoendesha Kitengo cha Kontena ndani ya Bandari ya Dar es Salaam, TICTS zimetia saini mkataba mpya wa ambapo TICTS watakuwa wakiilipa TPA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.