Recent content by tozi zee

  1. T

    Simba walivyopendeza na logo ya NBC, kanuni kuitoa Yanga kwenye ligi

    Simba na NBC ni kama kiuno na mkanda tangu enzi hizoooo jezi la mnyama simba likiwa limechafuka kama kawaida kitendo ambacho siyo rahisi kukuta kwenye team zinazofanya vibaya kuvutia sponsors wa kuchafua jezi. Pichani ni Mnyama Pawasa akiwa ametinga uzi wenye twiga mwekundu vilevile ni vyema...
  2. T

    Inadaiwa huyu ndiye Moses Lijenge (luhende)

    Hi issue inashangaza sana yaani ni udhalilishaji wa ajabu sana kisa chadema
  3. T

    Inadaiwa huyu ndiye Moses Lijenge (luhende)

    Nimeona picha ikizunguka mtandaoni watu wanaomba wamuone mahakamani naye apandishwe kizimbani. Narudia tena: INADAIWA kuwa ndiye yeye. Utata umeibuka alipo mmoja wa watuhumiwa katika kesi ya kufadhili ugaidi inayomhusisha Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake, aitwaye Moses Lijenge...
  4. T

    Tetesi: Ndoa nyingine ya lopolopo yavunjika

    Kwa waliokuwa majirani zake enzi hizo hawatashangaa sana maana hata yule mke wa mwingine kipindi hicho jamaa akiwa choka mbaya sana alikuwa anamvurumishia makonde na matusi mazitomazito juu yake. Hata baada ya simba kumpa maisha na connections na standard ya maisha ku improve bado dada alikaza...
  5. T

    Yaliyojiri Kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi - 27/09/2021

    Internet speed imeminywa bora uchumi wa watu uharibike ili tusipate updates
  6. T

    Yaliyojiri Kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi - 27/09/2021

    Hivi hizo updates ndo sababu ya nchi nzima kuchezewa speed ya internet?
  7. T

    Ni kazi ya Mola lakini kwa hiki kinachoendelea Tanzania ni aibu na kituko

    ?2025 tena si bora hata kikwete alikuwa ana ka demokrasia cha uongo na kweli, huyo unayemlilia ndiye kasababisha hata wabunge hawana hofu tena wanajua wakurugenzi na polisi watawapitisha kinguvu kura hazina maana tena Magufuli alikuwa anadharau hivi vitu haya ndo madhar ayake sasa
  8. T

    Wana simba tukiingia robo fainali CAFL mwaka huu tuchinje tembo kabisa na kufanya party kubwa

    Tafuta kazi ya kufanya mbona hatujui hata unazo threads ngapi kwani limit ya kuanzisha threads ipo? Punguani wahed hujui jf ni users generated contents kama hujui kuanzisha threads tulia usome za wenzako na wapi walikuambia servers zao zimejaa?
  9. T

    Inasikitisha Hii Picha Ya Yanga Sc: Bumbuli, Msolla Watengwa

    Sasa hata kama mtu poa ndo ampangie makamu mwenyekiti mwakalebela jikoni kuosha vyombo Inasemekana jamaa mda wote picha inapigwa hakutakiwa kutoka jikoni
  10. T

    kadi nyekundu ya Mukoko Tonombe Kigoma atakosa mechi ya ufunguzi?

    Yes hata Morrison hawatacheza
  11. T

    Kaze arudi Yanga haraka iwezekanavyo!

    Walishapatikana hao wenye weledi tangu atimuliwe?
  12. T

    Aliyemleta kocha mpemba simba queens ni muhujumu uchumi

    What a waste liooooongoooo kama yule mpemba aliywfukuzwa mtibwA
Back
Top Bottom