Recent content by TOWNSEND

  1. TOWNSEND

    JamiiForums Tanzania Vyoo vya kukaa vimenishinda

    Tatizo sio aina ya choo.... Uustaarabu unahitajika kama maji yapo na toiletpaper vipo sioni tabu yeyote... Usafi ni lazima
  2. TOWNSEND

    JamiiForums Tanzania Kwanini miradi mingi inayoanzishwa na Serikali haina matokeo chanya?

    Kwanza elimu....halafu hii miradi hatuambiwi kwamba ni kodi yako.. Utasikia mfano treni ya mwakyembe khaa uwanja wa Moapa....kwa hio hakuna mwenye kuthamini
  3. TOWNSEND

    JamiiForums Tanzania Hassan Ngoma Clouds 360 tafuta kazi nyingine, uchambuzi umekushinda

    Mtamlaumu bure... Kwa sasa wengi ni waongo mdomoni lakini mioyo yetu inajuwa ukweli
  4. TOWNSEND

    JamiiForums Tanzania Dreamliner ya ATC yaleta Neema Tanzania

    Hapo kwenye huduma fafanua vizuri..... Maana Kuna.....
  5. TOWNSEND

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mwanasiasa mkongwe, Kingunge Ngombale Mwiru afiwa na mkewe Peras Kingunge

    Mungu amlaze pema anapostahili amen.
  6. TOWNSEND

    JamiiForums Tanzania Moses Machali: Askofu Kakobe siyo mchungaji wa kiroho

    Machali bado mdogo hustahili kuongea sana tengeneza maisha yako ya baadae
  7. TOWNSEND

    JamiiForums Tanzania MFANO HALISI: Road Licence inavyoikosesha serikali mapato

    Akili za kijinga unafikiri ni sawa nauli zipande? Mwenye bus Hana hasara watakao umia no maskini ujue hata mafuta ya taa yatapanda
  8. TOWNSEND

    JamiiForums Tanzania Taarifa za kukanusha tuhuma za audio inayosambazwa ikumhusu Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe

    Ukitaka kujuwa mbowe ni kichwa angalia panavyokuwa n.a. utulivu wakati akiongea awe bungeni au jukwaani.... Tizama wengine hasa mawaziri
  9. TOWNSEND

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Tetemeko la ardhi limetokea, Askari mmoja apoteza maisha

    Mmmmm majanga haya mungu anajua
  10. TOWNSEND

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Tetemeko la ardhi limetokea, Askari mmoja apoteza maisha

    Limepiga kikanda.....lake zone
  11. TOWNSEND

    JamiiForums Tanzania Mnyika na Wananchi wa Mbezi Mwisho waandamana kupinga X za kwenye Nyumba

    Ila kumbuka kuna ' watu wanalima ndio maana umeshiba na umeweza kupost humu yote hayo kuna watu wamehusika... Acha kusema watu
  12. TOWNSEND

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atatua kero ya kivuko cha Furahisha Mwanza, Daraja mbioni kufunguliwa

    Leo nimeliona...mmmm hakuna wavukaji labda siku ya mpira watakaotoka kirumba..... Nimeona n.a. double road ya airport... Ila double road ya tengeru to Arusha mmmmmmmm nzuri
  13. TOWNSEND

    JamiiForums Tanzania Profesa Lipumba: Namsubiri Maalim Seif aje ofisini nimpangie majukumu yake

    Nikitizama yanayoendelea nchi yetu kwa sasa sioni mbele ujinga mwingi sana.....
  14. TOWNSEND

    JamiiForums Tanzania Askofu Shoo: Watanzania wenye nia njema tunamuelewa Rais Magufuli.

    Sasa nimeelewa kwa nini Siku hizi hata kanisani kuna milango ya chuma na ulinzi
Back
Top Bottom