Recent content by Towashi wa 2

  1. T

    Mega Thread: East Africa's iconic Architecture

    Tayari mmesha upolute huu uzi kwa kuugeuza wa kulinganishia Dar vs Nairobi
  2. T

    SINGIDA: Mji unaokuwa kwa kasi zaidi na wenye fursa za uwekezaji zaidi ya Mikoa mingi

    Pamoja na kukua kwa miji hii midogo na ya kati kutokana na road network interconnectivity na b4hara,none of these towns will surpuss the current cities of Dar,mwanza,arusha,Dom,mbeya,Tanga and MTWARA..kwa vile ukuaji wa miji hii mikubwa unachagizwa zaidi na its geographical position na role ya...
  3. T

    SINGIDA: Mji unaokuwa kwa kasi zaidi na wenye fursa za uwekezaji zaidi ya Mikoa mingi

    Miji mingi nchini inakuwa na kujengeka kwa kasi kutokana na kuimarika kwa barab2ra za lami na umeme,singida,manyoni,igunga,tabora,songea na kigoma.So mnaopinga kwa vile hakuna picha acheni kukariri tembeeni muone badala ya kukariri miji mikubwa ya zamani tu.
  4. T

    Rais, Tanzania si chochote katika utalii

    Hongera kwa mtoa mada umeleta tafakuri nzuri kwa wenye akili.Ukweli ni kwamba wenye dhamana ya utalii wana uelewa mdogo sana kuhusu dhana ya utalii wa karne ya digital.kuna mbinu nyingi wanaweza ku capitalize mfano kutumia ofisi zetu za ubalozi,mikutano yote ya ndani na nje ya...
  5. T

    Kwa mwendo huu wa kobe ni dhahiri tushika mkia daima

    Katika nyanja nyingi za maendeleo,Tanzania tumekuwa tunajikongoja kwa kupafomu chini ya kiwango alafu serikali ya ccm inajisifu.Mfano mja ni sekta ya barabara ambapo kwa zaidi ya miaka 50 ccm imejenga/paved roads kilomita 5000 tu,je tutamaliza lini barabara zaidi ya km 87,000 zilicho chini ya...
  6. T

    Nimeamini kweli Dar es Salaam ndio Tanzania kwingine kote kijijini

    We mavipunda na mkereketwa mnawanga mbeya hamuijui mnaropoka,mbeya ya leo sio ya juzi,ya leo imeendelea xana kuna hadi gorofa 10,huko kwenu mtwara na tanga zipo? Anzia veta ikulu hadi uyole kuna nyumba za maana hapo bado forest,iwambi uzunguni etc,njooni mtembee sio kuandika upuuzi msioujua
  7. T

    Nimeamini kweli Dar es Salaam ndio Tanzania kwingine kote kijijini

    Serikali na mashirika yake yana mambo ya kizombi sana kwa nini watumie rasilimali zetu mikoani kwenda kujenga dar,arusha na Dom bila kuzingatia uwiano alafu stupidi mja wa dar slums anakuja kuponda.NHIF pekee ndio wamejenga jengo la ghorofa 10 mbeya,parastatals zingine ziko bze dar na arusha not...
  8. T

    Ecobank research reveals Africa’s five investment hot spots

    Hapo quickly umezingua,kati ya nchi tajwa hapo juu only Ghana ndio partly inategemea mafuta isipokuwa cha kushangaza katika top 5 best performers wa economic growth kuna code voire na senegal how comes unaiacha Tz wakati uwekezaji wa PS na Govt ndo unasukuma uchumi to the tops?
  9. T

    Kenya's highest building opens for business

    Hako kajengo ka kujiteKenya ni kabaya na kana design ya hovyo kwa kukaangalia,sijui kwa nini wanamake noise hivi macho yao yana makengeza au? Kitu cha TPA Tower ni shida.Ukija kwenye new residential areas kwa dar kuna new entrants kama mbweni,kibada,bunju beach na kinyerezi mwisho ni shida,Nai...
  10. T

    Hotuba ya Rais Magufuli kwa Kiingereza kwenye ziara ya Waziri Mkuu wa India

    Eti huyu ndio anawaita wanafunzi vilaza,yeye mwenye Phd.anaongea english ya daraxa la ngapi labda?
  11. T

    Rais Magufuli kateleza kuomba viwanda vya pikipiki na Bajaji; tulitakiwa kuomba za dawa au Trekta

    Ndo rais wenu huyo wa viwanda,ongezeni kumsifu zaidi..visionless prezdaa
  12. T

    Nimeamini kweli Dar es Salaam ndio Tanzania kwingine kote kijijini

    Nyie dar slums dwellers endeleeni kuuza juice ya miwa sie mkoani tutalima na kufuga then tutawauzia na kujenga makazi na vitega uchumi vya maana nyie endeleeni kujenga chumba kimoja kimoja na kuogelea kwenye rubbish kila mwaka mkimaliza mje kuweka picha za magorofa yenu jf
  13. T

    Nimeamini kweli Dar es Salaam ndio Tanzania kwingine kote kijijini

    Acheni ungese nyie chips wa dar,dar inajengwa na rasilimali za mikoani kutokana na mfumo wa kipuuzi wa utawala/centralized system,mbaya zaidi uwekezaji wa serikali mikoani ni mdogo sana,kuanzia 2005 ndo kidogo mikoani tumepata japo barabara jambo ambalo limechochea maendeleo kidogo yaliyopo na...
  14. T

    Kenya's highest building opens for business

    Waaooh! Amazing Rita Tower,wakenya wamepata aibu na kigorofa chao ugly wanajifariji kwa matusi
  15. T

    Tanzania to start construction of strategic highway linking the EAC to SADC

    Nakubaliana na huyo aliyexema chini ya ccm there a lot of plans utekelezaji zero,hiyo road sio muhimu kuliko ya kutoka swax hadi kigoma au ifakara hadi songea,tangu uhuru hazijawahi kumalizika
Back
Top Bottom