Kwa mwendo huu wa kobe ni dhahiri tushika mkia daima

Towashi wa 2

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
341
241
Katika nyanja nyingi za maendeleo,Tanzania tumekuwa tunajikongoja kwa kupafomu chini ya kiwango alafu serikali ya ccm inajisifu.Mfano mja ni sekta ya barabara ambapo kwa zaidi ya miaka 50 ccm imejenga/paved roads kilomita 5000 tu,je tutamaliza lini barabara zaidi ya km 87,000 zilicho chini ya Tanroads? Tujifunze kuwa na timeframe ya mipango yetu kutoka kenya na ethiopia hasa kwenye miundombinu ya uchumi kama barabara na reli.Ingefaa angalau tujenge km 1000 kila mwaka badala ya km500
 
Mkuu kaanza kuomba wataalam wa it Rwanda.
Nadhani tusubiri aombe pia wataalam wa bara bara china
 
Back
Top Bottom