Recent content by Tourist man

  1. T

    Mke wangu kabadilika sana.....

    haya mpya kabisa haya,lakini kwa nini akufanyie hivyo?nina mashaka na wewe Kwanza.
  2. T

    Msaada kuhusu ubora,uimara wa nissan x-trail

    Hii gari siitamani tena nakumbuka ilashawahi kuniburstia tairi dah acha kabisa halafu speed kibati,nilifunga tairi za China sisahauuu...all in all gari iko poa zingatia service I hope you will enjoy it.
  3. T

    Msaada kuhusu ubora,uimara wa nissan x-trail

    si kweli ni gari imara iko poa halafu ni4wd mkuu
  4. T

    Ford UK wanatoa magari mazuri na nafuu kuliko Toyota Japan

    Hapo umenena,NISSAN is the best.kamata Xtrail ndo umeua kabisa haina problem kabisaAa
  5. T

    My trip to Russia

    Hahaha Sisafiri na air malaysia naona ntasafiri na Turkish air.
  6. T

    My trip to Russia

    Asanteni kwa wote mlionishauri na mlionikatisha tamaa,safari ya russia iko na nishaanza kufuatilia kama viol alivyoelekeza
  7. T

    My trip to Russia

    mhhh mkuu kwa Afghanistan No,nikafuate nini huko .lol.
  8. T

    My trip to Russia

    Your are best of the best thanks kwa kunitia moyo nashkuru waTz wenzangu wako huko na wamenihakikishia usalama.
  9. T

    My trip to Russia

    Basi huo ndo wakati mzuri maana mimi baridi ya -1 siiwezi.
  10. T

    My trip to Russia

    Nnavyojua ukienda Nchi yoyote ya nje ukienda kusoma lazima ukapimwe afya yako hasa ukimwi lakini kwa ajili ya matembezi tu sidhani...
  11. T

    My trip to Russia

    Thanks kwa kunitia moyo nmeipenda Urusi.
  12. T

    My trip to Russia

    Ahsante mkuu safari nmepanga mwezi wa sita.
  13. T

    My trip to Russia

    Malysia hapana labda Japan.But nimeipenda Urusi.thanks for Advise lakini.
  14. T

    My trip to Russia

    Lakini sikulazimishi kama unafikiria mimi ni Muongo basi nifikirie hivyo hivyo tu haina shaka.Natamani siku nitakayosafiri unisindikize Airport.
  15. T

    My trip to Russia

    Mchangiaji hapo juu kwa alivyoeleza ukiwa nao hauwezi kwenda huko.Mi mzima wa afya bado sijakanyaga miwaya.
Back
Top Bottom