NImekuwa nikisumbuliwa na vitu kutembea maeneo nyuma a bega la kushoto zaidi miaka 15..
Kuna kipindi nilikuwa nakaa nyumba yakupanga, mama mmoja aliniambiaga mtoto wake mdogo alimwambia Kaka kuna vitu vinamtembea lakini nilipuuzia.
Ila sasa naona kama haviishi kwa mwenye experience inaweza...
Naomba tufikishie kilio chetu sisi maagent wafanyakazi wa TRA ukienda floor namba 10 utakuta foleni kama wanangoja mwendokasi kupata huduma, wakati kuna mfumo upo kwa system ingesaidia kumaliza kero labda kama kuna case ya kuonana.
Hii imepelekea walio na maofisi mbali na One stop center kupata...
SHOW YA IRINGA:
Show ya jana ya Wasafi wamejitahidi sana kuimprove... Vile vile kubadilisha hasa suala la kupoteza muda... Vilevile katika kuchagua list ya wasanii, suala ambalo wasafi inabidi walizingatie bado...
Wataweza hili kwa kufanya tafiti yakinifu kabla ya show, kazi ambayo Daudi wa Kota...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.