Recent content by Toundi

  1. Toundi

    Kwenye maisha yako ya utafutaji, usije ukarogwa ukakimbilia Moshi

    Hawana tabia ya kukubali kutawaliwa na mtu baki(kabila lingine) kwenye biashara
  2. Toundi

    Kwenye maisha yako ya utafutaji, usije ukarogwa ukakimbilia Moshi

    Moshi ndio biashara ilipo zaliwa na wachaga wapo all-over the world kwaiyo huwez toka huko usukumani kaliuwa kuja kufanya biashara ukatoboa Kwa watu walio Anza business before Christ
  3. Toundi

    KWELI Kupigwa vibao tumboni wakati wa Mazoezi husaidia kubana Misuli ya tumbo

    Tufanyeje sasa na siku izi six-pack abs ndio habari ya town!
  4. Toundi

    GE2020 Chato: Msafara wa Tundu Lissu washambuliwa kwa mawe

    Tatizo la mataga ndio hilo Chadema hawana silaa Chadema hawana jeshi Chadema Wana sera we mataga nenda kamwamshini Jiwe mkazibue mitaro dar kwenye kandarasi zenu
  5. Toundi

    GE2020 Mapokezi makubwa aliyopewa Lissu na wakazi wa Chato yana ujumbe mkubwa uliokuwa umejificha mioyoni mwao

    Wamekodi watu mwuulize mwinyi price ya kukodi leo hiii hko Zanzibar
  6. Toundi

    GE2020 Mapokezi makubwa aliyopewa Lissu na wakazi wa Chato yana ujumbe mkubwa uliokuwa umejificha mioyoni mwao

    Kama mwenyew unajiita kiporo Cha wali tunda unafikiri huko kichwani kwako Kuna kitu ni uahuzi tuuu wa hayo maharage na wali wake mwakaaa huuu na maahati yenu ya kisamvu mtalia ugali wa Jiwe
  7. Toundi

    GE2020 Mapokezi makubwa aliyopewa Lissu na wakazi wa Chato yana ujumbe mkubwa uliokuwa umejificha mioyoni mwao

    Nyie si mnafanya fiesta na kubeba watu lazima mchukie kwa gharama za kipuuzi CDM wanauza sera sio sura pimbi maji ww
  8. Toundi

    NANI wa KUIDHIBITI TUME YA UCHAGUZI ?

    Tatizo la mpumbavu ni moja Hana uelewa Wala uchungu na kitu chochote kwaiyo wa bwana Bia ni mpumbavu na utafakari ubongo wako utakua mbovuuu
  9. Toundi

    NANI wa KUIDHIBITI TUME YA UCHAGUZI ?

    We unajiita Bia 28 utajiita kiroba
  10. Toundi

    NANI wa KUIDHIBITI TUME YA UCHAGUZI ?

    Sema Mimi usisemee wengine maaana hawana fikra fupi Kama ww
  11. Toundi

    GE2020 Salumu Mwalimu: Biashara zote za Serikali kubinafsishwa

    Sio tusiwape usiwape ww mwenyewe unataka kuchukulia kila mtu ni mtori Kama ww
  12. Toundi

    TANZIA: Wakili Stanry Julius na wenzake wafariki kwa ajali ya moto Iringa

    No one can judge about death let us stay cool coz we are on the same truck
Back
Top Bottom