bashite kahangaika sana kurudisha urafiki na steve, steve kagoma na hata simu zake hapokei...simply steve ni timu membe, jk na wanawe akiwapo bwana nape nnauye, hivyo hawezi kuwasaliti na hatakufa njaa asipojipendekeza kwa bashite
jilipue mtoto wa kiume ukaze makalio uongeze kipato, sikuombei mabaya ila kama unafikiria vidogo utabaki navyo hivyo hivyo so kapange kisha tafuta namna ya kuongeza hicho kipato amini unaweza
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.