Recent content by totlo masire

  1. totlo masire

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilivyoparamia mtumbwi wa vibwengo!

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we selemani wee sele
  2. totlo masire

    JamiiForums Tanzania Lissu: Habari ya Maridhiano kati ya CHADEMA na CCM ilishakufa baada ya CCM kukataa mapendekezo yote ya Katiba Mpya

    Punguza uchawa kwa ccm we bro!! Muda mwengine kausha pita kimya kimya usikubali kujizalilisha kwa hawa watu wq ccm!!! Yani lissu asilisemee hilo kwa nini?
  3. totlo masire

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wa hivi wana mapepo au ni nini wakuu

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] una uzoefu na iyo mitaa mkuu
  4. totlo masire

    JamiiForums Tanzania Aiba mtoto wa bosi wake, adaiwa kumlawiti kwa miezi mitano

    Sio tu afungwe uko jela nae akaliwe kama alivyofanya kwa kijana mdogo huyu!!! Hili jamaa sijui vipi, hivi hii mizuka yakumuingia mwanaume, wanaume huwa tunaitoa wapi? Huyu akikamatwa nae huku jela akaolewe
  5. totlo masire

    JamiiForums Tanzania UWT Waungana na Mbowe kupinga Mkataba wa Bandari

    Kama chama mnajiaribia kwa wananchi angalieni mlipo jikwaa mrekebishe, sio kuwapa vitisho wana chama!!!! Mwenyekiti kazingua na yeye anajua msiuze utu wa watu wenu na mkataka kuungwa mikono, rekebisheni mkataba wanachama watarudi, Moto hauzimwi kwa moto mkuu
  6. totlo masire

    JamiiForums Tanzania Afghanistan: Taliban yapiga marufuku Wanawake kutembelea Hifadhi ya Kitaifa

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yani hawa jamaa ni shida!!!!
  7. totlo masire

    JamiiForums Tanzania Ni wakati gani unaweza au kutoweza kuchanganya dini na siasa?

    Sasa na wewe usichanganye dini na siasa yamesomwa kanisani yanakuhusu nini ya kanisani? Em tulia mkuu hakuna wakukiwasha kwenye hii ichi ila unatakiwa kujua mkataba ni mbovu na tumeugomea..... wewe ukubali na ukiwa uko ulipo waambie umeukubali....
  8. totlo masire

    JamiiForums Tanzania Kama taifa ndio tumefikia huku? Je, shida ni ule waraka au kuna kingine hatukijui nyuma ya pazia?

    Ndugu zetu katika imani!! Hawa jamaa upeo wao ni finyu sana yani sana..... sasa hiki ni nini?
  9. totlo masire

    JamiiForums Tanzania Tetesi: MELT group walikopa Billion 250 kutoka benki ya Maendeleo ya Africa Kwa kutumia Kiwanda Cha Musoma textile Mills?

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] snitch
  10. totlo masire

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake weusi wazuri jamani dah 😋

    Mimi sitaki mtoto wangu awe mweupe aisee
  11. totlo masire

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake weusi wazuri jamani dah 😋

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na wanajisikia vbaya sana sijui wanajikutaga kina nani
  12. totlo masire

    JamiiForums Tanzania Foleni barabarani yasababisha tutumie saa 12 kutoka Dar mpaka Morogoro

    Duuh inamaana sa hivi safari za usiku niza moto
  13. totlo masire

    JamiiForums Tanzania Foleni barabarani yasababisha tutumie saa 12 kutoka Dar mpaka Morogoro

    Shida ilikuwa nini mkuu mpaka mtumie muda wote huo? Kulikuwa na ajali au ni foleni tu yakawaida?
  14. totlo masire

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni kiongozi mwenye misuli ya Uongozi ya kustahimili Vishindo vya aina zote

    Are you serious mkuu? Yani upo serious na raisi samia? Hivi ingekuwa wewe ndo umefanya hili alilofanya ungeongea nini? Kimya chake ni kuona watz kumbe wana akili maana alishatuuza!!!! Sasa kila kona anapigwa misumari..... (muungwana akikosea huchutama) Mama samia kachutama tayari, hakuna...
Back
Top Bottom