Recent content by Totalman

  1. Totalman

    Nina mimba na mtoto ana miezi minne, naomba ushauri wenu nifanyeje?

    Kama watoto wote ni wa baba mmoja hamna shida hata kidogo wewe kula vizuri umnyonyeshe mtoto kwa kwenda mbele. Kama ulichepuka utambemenda mtoto usimnyonyeshe kabisa mpe maziwa ya ngombe
  2. Totalman

    Lowasa aapa kuwashughulikia wapinzani wake. Wamo Diallo, Dr Slaa, Msukuma, Nape, Kikwete, Mangula

    Ukipata habari za mitaani changanya na zakwako kwanza,very weak argument
  3. Totalman

    Mbowe aiteka Tanzania

    Peopleeeeeeeeeeeeeeeeez
  4. Totalman

    Yaliyojiri Agosti 4/2015 katika Mkutano Mkuu wa CHADEMA Ukumbi wa Mlimani City, DSM

    Pamoja sana Lowassa ndio Rais wa Awamu ya 5
  5. Totalman

    UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    UkawaaaaaaaPeoplezzzzzzzzz
  6. Totalman

    Mgombea urais CHADEMA kupatikana Agosti 4

    Chadema na Ukawa ni mpango wa MUNGU! Pamoja sana
  7. Totalman

    Lowassa anafanya kampeni za wazi

    Kakojoe ulale. Ukitakiwa kuthibitisha mahakamani kuwa waliokuja kwako wametumwa na EL utasema nini? Unachoona na kusikia unapaswa kuchanganya na yakwako kama unazo
  8. Totalman

    Katibu Mkuu wa CCM, Kinana na Timu yake wahutubia umati wa wananchi Mpwapwa, Dodoma

    Wajiandae kisaikologia kuwa chama cha upinzani, kila lenye mwanzo lina mwisho wake, sick and tired with this party
  9. Totalman

    Mecky Sadick apongeza uteuzi wa Makonda baada ya kumwapisha ofisini kwake leo

    Ushauri wa namna ya kutukana au kufanya fujo kwa wazee???
  10. Totalman

    Mbowe amesalitiwa, wapo wa kuwajibishwa

    Nonsense, kwani wabunge woooooote wa chadema siwalichaguliwa wakati serikali za mitaa zikiwa kwa wapinzani wao kwa sehemu kubwa?
  11. Totalman

    TANESCO yaamriwa kuzima umeme

    Jana kabla na wakati wa mjadala wa mzee wetu mtukufu Warioba umeme ulikatwa karibu maeneo mengi ya hapa arusha na pengine na mikoa mingine na baadae ukarejeshwa baada ya mdahalo kumalizika. Leo tena tumekatiwa maeneo mengi ya arusha na moshi nadhani utarejeshwa baada ya kikao cha bunge au...
  12. Totalman

    Werema akubali yaishe, Kikwete adaiwa kumteua Jaji Bwana (acting AG) kumrithi!

    Wanaosema Pinda ajiuzulu APIGWE TU...
  13. Totalman

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Leo Jumatano, Tarehe 26 Novemba, 2014

    Baada ya kipindi cha maswali na majibu leo asubuhi Mwenyekiti wa Bunge wa kikao cha leo Mhe. Zungu aliwatambulisha wageni akiwemo mke wa Kafulila na kuongezea kwamba ni kada wa Chadema jambo ambalo nimeliona kuwa ni ukomavu mkubwa wa kisiasa wa Mhe. Kafulila. Big up Mhe.
  14. Totalman

    Ushauri wa Bure kwa ZZK!-Congratulations..But,,,!, Be Calm!, Keep Quite!, Don't Ridicule Them!.

    Teh teh teh leo kweli ZZK anaponea mahakamani?Ama kweli nimeamini maneno ya wahenga kuwa kila lenye mwanzo lina mwisho!
Back
Top Bottom