Mbowe aiteka Tanzania

Mbowe aiteka Tanzania

Alama na salamu iliyobuniwa na Mwenyekiti wa CHADEMA katika Mkutano wa BAWACHA Millenium Towers imeikamata Tanzania. Alama hiyo ya kuzungusha mikono kama tairi inasindikizwa na salamu isemayo:Mabadiliko....Lowassa!;Lowassa....Mabadiliko!

Sasa alama hiyo na salamu inatumiwa na CHADEMA na UKAWA kwenye mikutano yao ya kampeni nchi nzima. Hakika,Mbowe anastahili sifa kwa ubunifu huu wa alama na salamu.

Kweli wewe ni mang'ati wa babati
 
namuingiza rasmi mbowe kwenye kitabu cha mashujaa wa taifa .
 
Back
Top Bottom