Hakuna kitu alicho Fanya jk ufisadi watu wana kula pesa, zito anakuja na ushahidi bungeni kuhusu escrow wakina change wana sema yeye kala pesa ndogo, tibaujika anasema pesa za mboga, yuko wapi lugemalila yuko wapi nazili kalamagi ???
Magufuli ameongoza miaka mingapi kikwete alikaa miaka mingapi?? Umeona mikopo ndo standing ground mbona, husemi wabunge walikuwa wanalipwa Kwa 1m kikao cha bunge kipindi iko sisi tulikosa mikopo kipindi cha jk
Ukiwa na akili fupi uta muona magufuli sio kiongozi watu mna sahau mabaya ya Jk Nina diriki kusema sija wai ona raisi mbaya kama kikwete na rahisi ambaye Ame ludisha nchi nyuma sana kiamendele uwezi kuniambia hela inatoka 1000 mpaka 2500 ni mandeleo uyu alikuwa mjinga
Nini maana ya ujinga ni kuamini Kila kitu unacho ambiwa na mzungu Bila wewe kufanya utafiti katika nchi yako, lini tuta kuwa tuna jiamulia maamuzi sisi wenyewe kama taifa lililo jikomboa katika ukoloni mambo Leo. Mzungu akifanya research akisema Tanzania wote mashoga watu watachukulia poa Na...

Si Kila kitu hadi utumie Bible tukitumia ata akili ya unyama tu, ni binadamu pekee ndo wanafanya mchezo yaki jinga kaà hii uwezi mkuta Simba ana mla Tako Simba mwenzake sio dume sio jike
Ila watu nime kuja kuona watu ni wapumbavu sana uyo uyo kikwete walimsema ni fisadi chama chake wezi mpiga madili escrow, Hana jimilikisha mali na 90% ya accusation ni sahii namlidiliki hadi kumuunga mkono lowassa ili kumuondoa Lakini magufuli akifanya mandeleo mnasema mbaya mtakuja kusema hadi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.