Recent content by Toshack Kibala

  1. T

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa Mnyika kuhusu tuhuma za CHADEMA kubadili vipengele vya Katiba...

    wengi wetu hapa hatujazisoma katiba hizo lakini nashindwa kuelewa inakuwaje tunaacha hoja ya msingi tunarukia kutukanana?,mnyika kwa nafasi yake yupo sahihi
  2. T

    JamiiForums Tanzania Ufoo Saro wa ITV ajeruhiwa kwa risasi, mamake auawa!

    mapenzi haya mmmh
  3. T

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CHADEMA: Kwanini wanawakilisha Chama na kuwaacha watu waliowachagua?

    mtoa mada na wajinga wachache wanaokuunga mkono mna matatizo yenu binafsi huwezi sema mbowe,msigwa nk hawana akili jitathmini kwanza ww chadema hatuchagui viongozi kwa majina ya baba zao sisi tunaangalia vigezo na uelewa wa mtu
  4. T

    JamiiForums Tanzania Bungeni Dodoma: Makamu wa rais Zanzibar akanusha Zanzibar kutoshirikishwa

    alichokifanya ni kutetea chama chake na si matakwa ya watu wa zanzibar ukweli utajulikana tu muda c mrefu yatawashinda watarudisha tena sheria hiyo ifanyiwe marekebisho tu maana imewashinda wamepitisha kwa wingi wao sio ubora wake
  5. T

    JamiiForums Tanzania ARUSHA: Madiwani wapya wagundua ufisadi wa kutisha Halmashauri!

    huu ni mwanzo tu safari inaendelea
  6. T

    JamiiForums Tanzania Haya ndo maisha bora?

    sekta zote matatizo na chanzo ni mfumo mbovu uliowekwa na serikali nadhani mabadiliko yanahitajika kuanzia ngazi za juu mpaka huku chini
  7. T

    JamiiForums Tanzania Utawala Wa Kisultani Chini ya Kikwete Na CCM !

    hukumu yao imekaribia ni suala la muda uliobaki
  8. T

    JamiiForums Tanzania Exclusive: CHADEMA yafichua mbinu za kukiua chama - June 23, 2013

    tunasubiri mkuu
  9. T

    JamiiForums Tanzania Hilary Aeshi apokelewa Bungeni kama shujaa

    unafiki tu hamna lolote
  10. T

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: CCM tunapinga Uwepo wa Serikali Tatu.

    kwani ni lazima maoni yote yaliyotolewa na CCM yawemo kwenye rasimu hii itakuwa katiba ya watanzania wote sio wana-CCM au chama kingine chochote
  11. T

    JamiiForums Tanzania Mama Anna Kilango na Tundu Lissu nusura wazichape (Picha)

    mama anatetea chakula chake toka kwenye chama chake
  12. T

    JamiiForums Tanzania Wanawake 11 huko Mombasa wafanya ngono na mbwa

    Tatizo umasikini na tamaa ya dada zetu kupata wasivyokuwa na uwezo navyo
  13. T

    JamiiForums Tanzania VIJANA CHADEMA wamvaa RPC Kamuhanda kwa uongo, uzushi, wakumbusha mauaji ya Mwangosi

    huyu bwana athanas namfahamu vizuri nilisoma naye shule ya msingi saba saba na akaendelea seminary mpaka kuja kupata digrii ya biashara na pia ameshawahi fanya kazi maeneo mengi hapa iringa.Mwaka 2010 aligombea udiwani kata ya gangilonga kwa tiketi ya CHADEMA ni mwanachama wa kawaida kama mimi...
  14. T

    JamiiForums Tanzania SUMATRA watangaza ongezeko la nauli, kuanza kutumika Tarehe 12 Aprili 2013

    maisha bora kwa kila mtanzania
  15. T

    JamiiForums Tanzania Jengo la ghorofa zaidi ya 12 laanguka jijini Dar

    poleni waliothirika kwa namna yeyote
Back
Top Bottom