Mdau wadadawanne hizi tuhuma zako mbona zinatia mashaka lkn, mbona huziweki vizuri ili zieleweke sawasawa lkn km ni za ukweli? Kwa sababu unaongea vitu vingi kwa wakati mmoja ukichanganya na vingine ambavyo kama ni vya kweli ulipaswa uwe ulishaviongea toka siku za huko nyuma (i.e mzee fulani...
Lkn mdau mbona hizi misconduct mnaziripoti too late lkn jamani wkt interview ilishafanyika ni muda mrefu uliopita mpaka sasa? Isije ikawa uko aggrieved kwa sababu tu wewe hujapata hiyo nafasi, kwani tukumbuke pia ndg zangu kwamba hakuna matokeo na wala hakuna chombo kinachoweza kutoa matokeo...
Hivi ni kweli kwamba mwanaume ili uonekane unajua mambo ya 6 kwa 6 lazima uwe hodari wa kwenda chumvini?... kwa mana kwamba km huendi chumvini huwezi kumfikisha mwanamke kunako na unaonekana we hujui mapenzi??...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.