Recent content by Toragamaganza

  1. Toragamaganza

    Unayempenda hakupendi na usiyempenda anakupenda

    Nimewai kupenda mara tatu tu kwenye maisha yangu.Lakin nimekua kwenye mahusiano ambayo siwez kukumbuka idadi niwe mkwel. Wa kwanza nilimpenda kiasi kushindwa kumwambia. Wa pili ni bahatika kukaa nae kwenye mahusiano na ndo kujua kumpenda mtu kuna raha gani. Wa tatu ni huyu mshenzi hajatoka...
  2. Toragamaganza

    Unajua nini kuhusu Hawa watu wapole na wakaa kimya?

    Nikijiongelea mim moyoni najijua sio mpole lakn ni mkimya(naongea na watu niliowazea tu) Upole hapana make ukinizingua pale pale utapata ulichokitafuta. Nipo mkimya na aibu naona mwanangu nae karithi ukimya huu. Sent from my SM-G900F using JamiiForums mobile app
  3. Toragamaganza

    Neno uliloambiwa na unalikumbuka hadi leo na linakusaidia

    "Mwanaume anatafata maisha,mwanamke anatafutiwa maisha" Mama Sent from my SM-G900F using JamiiForums mobile app
  4. Toragamaganza

    The impact of The Royal Tour to Tanzanians

    36 Sent from my SM-G900F using JamiiForums mobile app
  5. Toragamaganza

    SoC01 Ukitaka kupiga hatua katika maisha lazima uwe sugu na mwenye msimamo

    Nimepitia misukosuko mingi kiukwel Kwanza sijawai pata kazi ikazidi miezi sita, nakuta shida itajitokeza kaz inaisha. Kutopata usingizi usiku hadi kupelekea kua mlevi,week nzima kupata usingi ni siku tatu na hizo ni saa sita labda hadi saa tisa Mauza uza kila nyumba ninayoishi lakn imani...
  6. Toragamaganza

    What are random interesting facts about yourself?

    Napenda sana kucheka na kutabasamu. Sio shabiki wa mpira wala siasa japo nilitamani sana ningekua shabiki. Ni ngumu sana kuchukia,lakin ukinekera nitakwambia ukweli ukichukia basi kesho yake nitacheka na wew kama hakuna kilichotokea. Sio muongeaji kabisa,wala kuchangia jambo lolote ata kama...
  7. Toragamaganza

    What are random interesting facts about yourself?

    Mhmm kuna watu wanafanana tabia jamn
  8. Toragamaganza

    Wanaume tubadilike, Wanawake wa siku hizi hawapendi kuolewa na walevi

    Bia naichukia lakn nilikua naipenda sana Tatizo inanifanya sifanyi jambo la msingi lolote zaidi ya kusifiwa tu bar. Nimeichoka kwakwel,mtu nakaa natemeka mikono kama nin sijui. Dear gambe nilikupenda sema najipenda zaidi ngoja nikuache kwa sas
  9. Toragamaganza

    Naomba ushauri, kuhusu elimu na maisha.

    Ok sawa hupo hapa dar?
  10. Toragamaganza

    USHAURI: Je ni vibaya/udhaifu kwa MWANAUME kutaka kuoa MWANAMKE mwenye pesa AU aliyetoka kwenye familia yenye uwezo kuzidi yake(Wealthy family)?

    Nimeipenda hii mm ni mtu wa kuacha kaz na kupata nyingine sababu inayonipelekea kuhama mikoa,Ex wangu wa mwisho hakuamini katika mipango yangu ya kuacha kaz bila kaz now i am in better place than before sababu ya risk taking.
  11. Toragamaganza

    Mazingira gani ya hatari uliwahi kufanya mapenzi?

    Hahaaa upole wangu haufanani kabisa na matendo yangu, Mhmmm natakiwa nipate mtu wa msimamo wa kutingisha kichwa kwamba hapa sio sehemu salama. Make kama officine ndo usiseme na hapo mtu anaweza ingia mda wowote kujitoa tu uchizi,Beach hahaa,Vyooo vya mall, Njiani night khali. Duh hatar sana
  12. Toragamaganza

    Pombe inanitesa mwenzenu!

    Hahaa duh kiukwel nikinywa pombe nataka kwel niisikie nimelewa, Ndo maana napenda kutokunywa peke yangu make nitaibiwa sana. Uzur nimekua nimekubusy sana siwez kunywa mpaka jpil tu unakuta unafidi ya week nzima. Siwez kunywa kati kat ya week make kunakuharibu kaz hapo Sent using Jamii Forums...
  13. Toragamaganza

    Manup guys have stand

    Nipo na rafik yangu wa kitambo sana kama miaka nane hiv, Ni mtu at least naweza muita rafiki, Nivigumu kumake new friends unakuta washikaji wa zaman ndo wale wale, Once i find out that ur royal then i keep u, Shida inakuja hapa,Kaz imenifanya niwe busy kiasi kwamba kuonan shida sana. Bas nafanya...
Back
Top Bottom