Wana JF,
Habari ya leo.
Kwa wale mnaomiliki magari ya ulaya haswa ya kijerumani mnaelewa ugumu wa kupata spair Tanzania.
Nimeamua kuwaondolea adha hii kwa kuanzisha huduma maalumu ya manunuzi ya spair yoyote inayopatikana SA.
Namna ya kuagiza ni kuwasiliana nami kupitia namba ya whatsapp pekee...
Walishanikamata siku moja pale kamata pembeni ya maliasili, nikagoma kufungua milango na hawakuweza kuingia kwenye gari. Nilishusha kioo kimoja tu cha dereva. Wakaanza kupiga gari nishuke, foleni ilivyotembea nikaondoka zangu hawakuweza kunidhibiti. Siku hiyo ndio nilijua kuwa kupaki kituoni ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.