Recent content by Top gun maverick

  1. Top gun maverick

    JamiiForums Tanzania Nina changamoto kwenye Koo langu nikiwa Nina meza mate Kuna Kama utando kwenye Koo

    Hio ni acid reflux mzee wala usiwaze una ulcers bila Shaka hio hali hata mimi ninayo utapata makohozi ambayo hayatoki. Tiba ni kumaintain diet epuka vyakula vyenye acid acha stress basi.
  2. Top gun maverick

    JamiiForums Tanzania Access Bank TZ, nikimeo kipya bongo

    Vp Pbz iko poa au
  3. Top gun maverick

    JamiiForums Tanzania Kuna siri gani ya Introverts wengi kutokea Blood Group O

    Sure hata mimi naichukua naitwa mpole na daa
  4. Top gun maverick

    JamiiForums Tanzania Iwe mvua au jua, giza au nuru nachojua ipo siku nitaendesha hii gari. Mungu awatimizie na ya kwenu pia

    Mi nikajua una ndoto kama zangu za kumiliki LC 300 Mwaka 2024 au 2025 kumbe una ndoto za gari ya Million 140 hio ukisave utaipata.
  5. Top gun maverick

    JamiiForums Tanzania Nawezaje ku download videos na audio YouTube?

    Ingia Google search Save From. Thank me later
  6. Top gun maverick

    JamiiForums Tanzania Hizi course za bure mtandaoni unaweza kutumia kuombea kazi?

    Kinacho matter ni skill uliyoipata kwenye hizo course sawa mzee wa coursera, skill share na udemy.
  7. Top gun maverick

    JamiiForums Tanzania Video: Huyu ni Askari Magereza ?

    Hii mitandao itafanya watu wapoteze ugali wao. Sidhani kama Kuna sheria ya kujirecord na uniform na kutishia watu.
  8. Top gun maverick

    JamiiForums Tanzania NAOMBEN MSAADA GMAIL YANGU NASUMBUKA KUIPATA

    Hio email una hakika ulisajilia laini hio hio maana inatakiwa ukitumiwa hizo code ureset password basi.
  9. Top gun maverick

    JamiiForums Tanzania Ipi gari ya kuchukua hapa, Subaru Impreza, Mazda Verisa au Toyota Rumion?

    Amini usiamini as days go Gari sio anasa tena hitaji la msingi na soon itakuwa kama kumiliki simu ya android version au Kila nyumba kumiliki Smart TV kama Hisense.
  10. Top gun maverick

    JamiiForums Tanzania Pitia elimu fupi: Subaru forester 4th generation (eyesight)

    Hii oil original ya subaru forester xt ikoje?
  11. Top gun maverick

    JamiiForums Tanzania Subaru Fans Special Thread

    Hivi oil original ya subaru ipoje ya laki na ishirini wakuu
  12. Top gun maverick

    JamiiForums Tanzania Dstv mna huduma mbovu kwa wateja wenu, jirekebisheni.

    Chanel O ila zamani sana
Back
Top Bottom