Recent content by toobiter

  1. toobiter

    JamiiForums Tanzania Hakuna Sehemu Yoyote Ile Duniani Ambako Dola Inachezewa Na Kuyumbishwa na Mtu Akachekewa tu. Ni Lazima Upitishwe Kwenye Tanuri la Moto Hadi Uive Akili

    Nyakati ngumu hutengeneza watu Madhubuti ili kukabiliana na mazingira ya nyakati ngumu. Watu Madhubuti hutengeneza nyakati nzuri,lakini na za kupendeza kwa Kila mtu. Nyakati nzuri hutengeneza watu laini,wepesi na wakarimu
  2. toobiter

    JamiiForums Tanzania Hakuna Sehemu Yoyote Ile Duniani Ambako Dola Inachezewa Na Kuyumbishwa na Mtu Akachekewa tu. Ni Lazima Upitishwe Kwenye Tanuri la Moto Hadi Uive Akili

    Kuna wakati unajiuliza. Ni kwamba hatuoni au tumeamua kuwa vipofu makusudi Ni kwamba hatusikii au tumeamua kuwa viziwi makusudi Mungu na aitetee nchi yetu,watu wetu na uzao wetu.Muda umebeba Siri kubwa sana
  3. toobiter

    JamiiForums Tanzania Tanzania haina haja ya kua na ushirikiano wa kidiplomasia au kimaendeleo na taifa ambalo haliheshimu uhuru wa taifa jingine.

    Anyway inaleta uvivu saana kukujibu kwasababu hauko huru ingawa Kila kitu kinaonyesha uko huru. Anyway kazi ya media surveillance unaifanya vizuri saana mkuu. Ila keep in mind kwamba "It's very easy to split the world from good to bad especially if you're the one drawing the line"
  4. toobiter

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyofilisika na kupoteza Tsh Milioni 25 kupitia kamari ya Aviator

    Kuna namna Huwa nashindwa kuelewa,ukipata odd 1.4 au 1.5 ukastake 10k ni rahisi kabisa kupata 14k-15k.jichanganye odd hiyo hiyo uweke milioni Moja au laki ndo utajua what is betting. Naamini huu mchezo kuna namna spiritual realm power inahusika. Kuna kampuni hadi nimetelekeza mtaji wa...
  5. toobiter

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyofilisika na kupoteza Tsh Milioni 25 kupitia kamari ya Aviator

    Daah Ni rahisi kulizungumzia suala la kamari kama tatizo,Ila huwezi jua hili ni tatizo kubwa kiasi gani mpaka ujaribu kucheza.nilianza kwa deposit ya 10k ikaisha. Nikaweka 350k ikaisha. Nikaweka 1.3milion ikaisha. Inatisha sana. Fun thing ni namna odds zinavyopangwa.ile algorithm inayopanga...
  6. toobiter

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Sisi ni Moja ya timu bora na nzuri barani ulaya(take it or leave it) Tumekuwa mabingwa Epl and almost won champions league(not for everyone) Kimsingi tunahitaji maboresho ya wachezaji kadhaa ikiwemo -left wing -mid -Rightback Ila kuna kitu kimetunyima ushindi kwenye mechi kubwa na za...
  7. toobiter

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Flano ,Labyrinth 84 Ninamshukuru mungu wa mbinguni kwa matokeo haya.its been long but worth enough. Hongereni gunners
  8. toobiter

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Na refer post yako ya jumatatu
  9. toobiter

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Castr Mkuu kwenye post ya thread ya Manchester united umekosa huruma na ubinadamu. Yaani ni zile umemkamata mwizi unapiga anazimia unamwagia maji akiamka unapiga anakata moto unamkorogea uji anapata nguvu kipigo kinaanza upya.That was very inhuman. Siku hizi flano kapotea kabisa.piga spana mkuu
  10. toobiter

    JamiiForums Tanzania Ujinga na Uoga: Je, hii ndiyo tafsiri ya AMANI kwa watawala?

    Mkuu una uhakika hii ni Jana ?
  11. toobiter

    JamiiForums Tanzania Ujinga na Uoga: Je, hii ndiyo tafsiri ya AMANI kwa watawala?

    Hahaaa niamini Mimi hakuna aliye "hapa" baadhi huku na kule. Dhana ya uoga na ujinga imekuwa kama sifa kuu isiyozungumzwa hadharani inayotufanya tuonekane tuna amani
  12. toobiter

    JamiiForums Tanzania Ujinga na Uoga: Je, hii ndiyo tafsiri ya AMANI kwa watawala?

    Looks like it's the time to release the hidden beast
  13. toobiter

    JamiiForums Tanzania Ujinga na Uoga: Je, hii ndiyo tafsiri ya AMANI kwa watawala?

    Kuna vitu hutakiwi kuamini ila kuvipima kwenye mizani ya mantiki.ushupavu wa kiongozi hauondoi Hali halisi ya watu wake ila unaweza kutoa "cover" ya muda ila akiondoka taifa linakuwa exposed. Nani anapenda kutambuliwa kwa sifa ya ujinga au uoga? hata Mimi sipendi na wewe pia hupendi
  14. toobiter

    JamiiForums Tanzania Ujinga na Uoga: Je, hii ndiyo tafsiri ya AMANI kwa watawala?

    Ujinga ni mtaji ila uoga ni bahasha
  15. toobiter

    JamiiForums Tanzania Ujinga na Uoga: Je, hii ndiyo tafsiri ya AMANI kwa watawala?

    Kuna kiongozi Mmoja ndani ya Afrika mashariki aliwahi mwambia kiongozi wa Nchi yetu nyakati hizo kwamba anaongoza "maiti". Ilikuwa lugha ya kuuzi,kukera,kudhalilisha na kushusha utu wetu.lakini ndani kabisa ya Ile kauli kulikuwa na ukweli ulio wazi. Watanzania tunadhani kuletewa maendeleo na...
Back
Top Bottom