Usipoteze muda kujaribu kuwafanya watu wakupende, tumia muda wako kwa wale ambao tayari wanakupenda. Mtu akiamua kujiondoa kwenye maisha yako, mruhusu tu kwa Upendo aondoke kwa Amani.
MUHIMU
Usiwaombe watu wakupende, usiwalazimishe watu wakufuate na vilevile usiwafosi watu wakuheshimu.
Muwe na...
Upendo ndo kila kitu
Hakuna aliemkamilifu hivyo lazima mmoja ajishushe hasa sisi Ke ili maisha mengine yaendelee
Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Upendo ukiwepo sidhani kama mnaweza jibizana kwa maana lazima mchukuliane madhaifu yenu..
Upendo Lina maana kubwa sanaa
Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Pole[emoji23]
Tafuta Hela,
Kula vizuri, Vaa upendeze
Utakuja kutoa ushuhuda hapa ila pambania point no 2[emoji13] (Tafuta hela)
Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Daaah hata huyo mpenzi mwenyewe yupo sasa[emoji2][emoji2]
Ngoja nikae pande hii nione wenye wapenzi wao[emoji28]
Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Download Playstore kuna ile ya Masaa 9 na ile ya Masaa 15..
Zina maelekezo kabisaa hauwezi kukosea kitu
Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.