Sawa mkuu ila ni maisha tu ndo yanafanya hv n vigumu sana kwa sisi watoto wa walalahoi kuzifikia ndoto zetu. Nikisoma banking and finance nan atanipa ajira na nina bloody brother mwaka wa 3 sasa yuko mtaani anasota na degree yake ya procurement and supply. Kwann nisibadili mawazo kusoma medicine...
Hakuna chuo hapo tafuta kingine kuna mshkaj wangu alikua anasoma hapo akaacha
NB: vyuo vya private vilivyopo dar es salaam si vizuri nenda mvumi, machame au st. Aggrey mbeya
Kwanza nianze kwa kuomba samahani kwa uzi huu mrefu
Mimi ni kijana wa kiume nna umri wa miaka 22, nilimaliza kidato cha 4 mwaka 2013 katika shule ya jeshi makongo (dar es salaam) nikafaulu kwa daraja la 2 point 18 ambapo alama zangu zilikua kama ifuatavyo
Biology B+, chemistry C, physics C...
Je kama mwaka jana niliomba chuo kupitia TCU nikapata lakini nikashindwa kwenda chuoni kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu je mwaka huu nikitaka kuapply tena naweza kuapply tu au mpaka niwasiliane na TCU/kile chuo kilichokanichagua?
Uko sahihi mkuu vyuo km hvo vipo
Kuna chuo kinaitwa CITY COLLEGE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCE kipo dar es salaam temeke mkabala na chuo cha bandali hiki chuo hakina dispensary wala duka la madawa
Ada yao ni kubwa sana mazingira sio rafiki kwa kusomo medicine issues. Wanafunzi wa clinical...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.