Evans-Arsenal
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 868
- 1,385
Kuna wanafunzi ambao wanaapply vyuo kwa sasa kwa upande wa afya kwa kuweka machaguo yao, lakini wengine kutokana na kutaka kwenda vyuo vikubwa wanajaza tu bila kuangalia ufaulu wao.
Angalia mfano wa jumla ya wanafunzi walioappy katika hivi vyuo vya afya kwa mwaka jana 2016 sasa ujilinganishe maana vyuo vingi vinachukua wanafunzi sio zaidi ya 250 lakini wanaoapply ni zaidi ya 1500 etc