Naomba kufaham

Tony_95

Member
Feb 27, 2017
32
7
Je kama mwaka jana niliomba chuo kupitia TCU nikapata lakini nikashindwa kwenda chuoni kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu je mwaka huu nikitaka kuapply tena naweza kuapply tu au mpaka niwasiliane na TCU/kile chuo kilichokanichagua?
 
Mkuuuu
Huu ni mwaka wa masomo 2017/18 achana na mwaka jana fanya aplcation mpya
unapata bila shaka
 
Kama applications zitakuwa moja kwa moja chuo (kama inavyotegemewa) nafikiri unaweza kuomba tu. Kama wataendelea na CAS itabidi uwasiliane na TCU wajue lililo kutokea kwani ukiingiza jina CAS itaonyesha wewe tayari ni mwanafunzi. Kama uko karibu na TCU unaweza kuwaona kwa maelekezo zaidi.
 
Back
Top Bottom