Recent content by tony montana

  1. T

    Citation of the court

    Nashukuru kwa mwongozo mkuu
  2. T

    Citation of the court

    Natanguliza shukurani msomi.
  3. T

    Citation of the court

    Nashukuru kwa ufafanuzi, swali dogo tu msomi, mtu akiquote in the high court of Tanzania peke yake bila kusema in the United republic of Tanzania atakuwa sawa ?
  4. T

    Citation of the court

    Nashukuru kwa ufafanuzi msomi
  5. T

    Citation of the court

    Habari za mchana mawakili wasomi na wadau wengine katika fani ya sheria. Naombeni msaada wa ufafanuzi ni ipi proper citation ya high court kati ya hizi: (a) in the high court of the united republic of Tanzania au (b) in the high court of Tanzania Ninaomba ufafanuzi huo kwa kuzingatia kuwa...
  6. T

    Kwetu pazuri

    Huyo kwenye pikipiki ni Leno renz ( correct me kama nimekosea spelling) kwa wahenga wenzangu hiyo ni tamthilia ilikuwa inaoneshwa ITV kipindi hicho ilikuwa inaitwa renegade
  7. T

    Kuhamisha pesa kutoka M-Pesa - CRDB

    System ya kulipia Tra bado haijaunganishwa na mitandao ya simu hivyo hiyo transaction lazima ikatae, pesa yako kama kweli ilikatwa basi itarudishwa
  8. T

    Huyu jamaa anayejiita Cado Kitengo wazee wa Hip hop mnamwelewa?

    Cado kitengo a.k.a jini, mchizi ni mkali balaa, freestyle, wordplay hashikiki
  9. T

    Na huyu una mkumbuka?

    Weekend inakaribia, lazima nikasikilize ile ngoma yake ua maya
  10. T

    Best Hip-Hop MC's of all time Bongo (Top five)

    1. Hashim dogo mwendawazimu 2. Imam Abasi 3.Sugu 4.Ulamaah solo thang 5. Fid q 6. Stoppa rhymes
  11. T

    Faidika/letshego kwanini mnasumbua wateja wenu pindi wakitaka loan settlement report?

    Kama ni kweli, nashahuri upeleke malalamiko yako pale benki kuu wanakitengo cha kusimamia mabenki, watawashughulikia
  12. T

    Beef ya Nas na Jay Z nani alishinda?

    Ether ilikuwa nyoka, hauwezi kuifananisha na usenge unaoitwa takeover, katika hip hop history, diss track kali kwa mpangilio kwa mtazamo wangu yakwanza ni no vaseline - ice cube, 1000 miles nwa, hit em up, mad niggaz -pac, who shot you-big smalls,sina nafasi kabisa ya nyimbo inaitwa taking/taken...
  13. T

    Msaada wa labour Case Authority

    Mkuu kuna kesi ya high court labour division dsm ilishayoa judgement kuhusu ili swala,na maamuzi yalikuwa kuwa mfanyakazi hadaiwi mikopo endapo mwajiri amemuachisha kazi mfanyajazi, hiyo kesi nakumbuka ilikuwa inaihusu benki ya kcb
  14. T

    Msaada wa labour Case Authority

    Masharti ya mkopo yalikuwa kimya, hayakuzungumzia ni nini kitatolkea
Back
Top Bottom