Recent content by TONY LOVE

  1. TONY LOVE

    JamiiForums Tanzania Kijana mwenye wazo la Biashara la mtaji wa Mil 5-10

    Kweli mkuu
  2. TONY LOVE

    JamiiForums Tanzania Kijana mwenye wazo la Biashara la mtaji wa Mil 5-10

    Nina mawazo mengi ya biashara tatizo mtaji.
  3. TONY LOVE

    JamiiForums Tanzania Kijana mwenye wazo la Biashara la mtaji wa Mil 5-10

    Naomba namba mkuu, udhamini upo kama utakuwa na wasiwasi. Kuna biashara ya mazao, unapiga pesa hatari, pia nina wazo zuri milioni 5 ndani ya miezi 4 unapata milioni 22 wastani wa chini.
  4. TONY LOVE

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada wa mkataba wa pikipiki

    Nitashukuru sana nikifanikiwa.utakuwa miongoni mwa watu mnaonishika mkono katika kutafuta mafanikio.
  5. TONY LOVE

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada wa mkataba wa pikipiki

    10000.ndugu yangu.
  6. TONY LOVE

    JamiiForums Tanzania Natafuta pikipiki ya mkataba wa miezi sita

    Kama unatoa mkataba wa pikipiki na omba na mimi unisaidie, mdhamini yupo anafanya kazi serikalini.pia nina kiwanja pwani mkuranga nitakiweka dhamana.nisaidie ndugu
  7. TONY LOVE

    JamiiForums Tanzania Natafuta pikipiki ya mkataba wa miezi sita

    Mkuu kama unatoa mkataba wa pikipiki na mimi nahitaji,kuna mtu atanidhamini.anafanya kazi serikalini.pia nina kiwanja pwani mkuranga nitakiweka dhamana.
  8. TONY LOVE

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada wa mkataba wa pikipiki

    Dar.
  9. TONY LOVE

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada wa mkataba wa pikipiki

    Habari wakuu, nahitaji msaada wa kupata pikipiki ya mkataba, mpya au used haina shida.ninamzamini wa kuniwekea mdhamana. Ni mfanyakazi wa serikali.pia nina kiwanja pwani cha samani ya Laki 6.mkuranga pwani.uaminifu ni mkubwa sana.
  10. TONY LOVE

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Umechoshwa na Computer yako kuwa nzito? Suluhisho ili hapa

    Unauza mpya au used
  11. TONY LOVE

    JamiiForums Tanzania Natafuta laptop mpya ya kununua

    Kuna laptop inahitajika kwa mtu ambaye anayo mpya.nicheki dm
  12. TONY LOVE

    JamiiForums Tanzania Nataka kulima Karanga na muhugo sehemu gani nzuri kwa mazao haya iwe ndani ya mkoa wa Mwanza?

    Kuna hekari kumi zinauzwa mkoa wa tabora kaliua vijijini
Back
Top Bottom